God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Uhalisia nilishaudefine katika uhalisia wangu, uhalisia wako na uhalisia kiujumla na umeukataa! we katafute tu huo uhalisia unaoutafuta bro.

Contradiction yoyote ni cotradiction hadi pale inapoacha kuwa contradiction, nakubali hata ndogo ni contradiction. Kukiwa na contradiction ni kweli hicho kitu kina uwongo bado.

Contradiction zinaweza kuondoka hata kama sentesi itabaki vilevile suala tu uhalisia upanuke, mfano;
Baba hapendi niumie ndio maana ananichapa........ hii kwa mtoto mdogo [asiyeelewa kusudi] unaweza kueleza hadi kesho ila akikua kidogo anaelewa hapohapo na sentensi haijabadilika kitu. Contradiction imeyeyuka!!! Ni uhalisia wa muelewaji ndio ulioyeyusha contradictions ndogondongo hizo
Kwa hiyo kwa mujibu wako hakuna universal definition ya uhalisia?

Kama hakuna universal definition basi usiweke universal claim

Sasa mtu akisema jambo fulani ni la kweli na huo ni uhalisia mnapaswa mkubali, tunafanyaje kujua jambo hilo ni halisia kweli na sio kafanya usanii kuturubuni?
 
Zipo halisia zote za watu wote na zote ni uhalisia mmoja universal wa kwamba kila mtu [conscious] anao uhalisia wake

Ninaweka maana ndio uhalisia, nifanyeje sasa?

Hatuna namna, hadi leo hatujapata namna ya kujua kwamba mtu A na mtu B wakisema hii ni rangi ya bluu basi wote wameuona huo ubluu katika namna moja vichwani mwao. Lakini regardless wote tunakubaliana kuwa ile kweli ni bluu!. Tutakubaliana endapo tu tumekubaliana kwamba tukubaliane hivi katika vitu hivyo tulivyoamua tukubaliane, vingine[in fact hata hivyo vya mwanzo] kila mmoja abaki na uhalisia wake aliouchagua.
 
Mbona hueleweki, mara universal mara personal nishike lipi?
 
Tatizo unajadili imani, wakati mimi najadili fact.
Kuna siku nilikupa kazi utenganishe kati ya "Imani" na "facts" ukashindwa.

Japo kuna imani potofu na imani sahihi, imani sahihi ni uhalisia sababu ina ishara juu ya hilo.

Hakuna imani pasi na matendo, sasa utaniambia, matendo ni uhalisia au kinyume chake ?

Mimi naomba nikupe tena kazi hii, naomba unitenganishie imani na uhalisia (facts).
 
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu Mungu hayupo.
Mjengeko wa hii sentensi ni dhaifu sana, na haya ni matokeo ya logic na falsafa kwa kufikiria mambo kitoto.

Yaani ni sawa useme "Juma yuko wapi ? Ukajibu "Hayupo" kwanini hayupo "Kwasababu hayupo". Huu ni wendazimu usio faa kupigiwa mfano.

Unachotakiwa ni utuambie umejuaje kama hayupo ?
 
Unamjua Eric God eater?
 
Huwezi kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Kwa sababu hayupo.

Tunajua hayupo, kwa sababu, ulimwengu uliopo unakanusha uwepo wa huyo Mungu.

Ulimwengu uliopo unakanusha uwepo wa Mungu huyo kwa "the problem of evil".

The problem of evil inatuonesha kwamba, Mungu huyo hachangamani na haruhusu ubaya. Hawezi kuwepo, halafu hapo hapo ulimwengu unaoruhusu mabaya uwepo.

Ama Mungu huyo yupo, ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Viwili hivi haviwezi kuwapo vyote pamoja.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.

Najua huwezi kuthibitisha Mungu huyo yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Kuna siku nilikupa kazi utenganishe kati ya "Imani" na "facts" ukashindwa.

Japo kuna imani potofu na imani sahihi, imani sahihi ni uhalisia sababu ina ishara juu ya hilo.

Hakuna imani pasi na matendo, sasa utaniambia, matendo ni uhalisia au kinyume chake ?

Mimi naomba nikupe tena kazi hii, naomba unitenganishie imani na uhalisia (facts).

Immanent critique.

Hata tukisema tukubali imani sahihi, tusiingie sana kwenye facts, imani yako ni potofu.

Unaamini Mungu ambaye dhana ya uwepo wake ina contradiction.
 
Leo nakubaliana na Kiranga [emoji23][emoji23].

For this one I agree bro only beings can have 'something' like love.

I would like to pose a question which maybe you overlooked between the lines; I would ask - DO YOU REALIZE THAT ONLY WILLING[freely willing in most if not all cases] BEINGS CAN LOVE? Kwamba ni vyenye utashi pekee vinavyoweza kupenda? Kwani upendo ni nini tuanzie hapo?

Unaelewa freely willing is different from freewill?

Kwamba ukiwa na uhuru wa kukata kulia au kushoto huna uhuru wa kwenda unakotaka?

Kwamba ukiwa na uhuru wa kuchagua rangi nyeusi au nyeusi tu huna uhuru wa kuchagua rangi yoyote unayotaka?
 
Mbona unamtupia mpira mwenzako, we mjadala umekushinda?
Hapana binafsi nauchukulia huu kama muendelezo wa mjadala mzima na sio kosa kujibu post yoyote hata kama haikuelekezwa kwako mojakwamoja. Ningependa uijibu hiyo post nawe pia.

Au inawezekana nilipokuwa nasema nimeshajibu nilikuwa nimemjibu mtu mwingine? Kama policy yako ni kutoscan the entire discussion basi ngoja nikaikopi kule nilikowahi kuijbia kuhusu uhalisia;
'''''Kuhusu suala la fact vs imani unajidanganya. Hata fact tunavyoiona inatofautiana kutokana na 'imani' ya anayeitazama hiyo fact.
Fact inaweza kuwa ni homa au maumivu lakini kwenye kusema ni kitu kiovu au ni kitu chema itategemea na imani zetu. Mimi nikipata homa labda naamini ni mwili wangu unanisaidia kupambana na virusi hivyo ninaishi - Purpose is good.

Hapa nimetumia neno imani kama namna tunavyochukulia kuwa ukweli wa mambo ndivyo ulivyo yaani uhalisia'''' niliwahi kujibu hivi niambie je unakubali kuwa hivyo ndio uhalisia ulivyo. Kama sivyo kajibu pia swali la Kisai nahitaji maoni yako kwa hilo pia
 
Sijalielewa hilo swali vizuri[emoji2955]. Nilimaanisha kwa mtu aliyejifix na kujilimit uhalisia wake unaweza kukuta humo ndani hakuna mashikio ya kutosha kumung'amua Mungu, ila akiongeza uwanda wa mambo yaliyo katika uhalisia wake ndiyo anaweza kumtambua Mungu. Ni kama ambavyo calculus imeongeza mambo yanayoweza kutatulika na hesabu ambayo hayakuwezekanika kabla. 3D kutatua tatizo la pembetatu duara ambalo halikuwezekanika katika 2D. Mind you unaona wazi kuwa yule mwenye uhalisia wa juu hauui ule uliopo chini yake bali anauelewa zaidi hivyo kuutawala na kuutumia vizuri zaidi.

But talking about premises: Kiranga kama maisha yako yote umekuwa ukihisi kila uamuzi ni lazima utanguliwe na logic au reason ndiyo mtu awe timamu basi tambua kuwa hilo si sahihi.

Nimekushuhudia mara kadhaa ukizungumzia 'a priori, a priorii..' na kuikandia ila nikuambie kuna situation ambapo huwezi kufanya maamuzi na ukishayafanya ni kiotomati unakuwa tayari umetumia a priori fulani! Logic haiapplai hapo.

Hali mbili ninazozifahamu kuwa na asili hiyo ni; 1. Kuamua WEWE kama upo au haupo, 2. Kuamua MUNGU kama yupo au hayupo. Namna ulivyoamua wewe katika hali hizi mbili ni sahihi kabisa kwa upande wako na umechagua bila kulazimishwa na chochote maana hakuna sababu [reason/cause] katika hali hizo mbili umeamua kwa kutumia tu wewe kuamua na ndiyo iko hivyo[a priori]. Free-WILL.

Baada ya kuamua basi ndiyo unakuwa umejipatia premise yako ya uhalisia wako na utaufurahia fully. Kumbuka yule anayeishi milele [simaanishi physically] na yule anayekufa ni wote wamechagua na wamependa zaidi dunia ya namna hiyo[kuwepo au kutokuwepo] na wanapokea sambamba na maamuzi yao kiotomatically.
Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction, si kwa sababu ya a priori premise.

Hayupo kwa sababu the problem of evil shows us a contradiction in the concept of that God existing.

Either that God exist, or a universe that allows evil exists.

The two are mutually exclusive.

A universe that allows evil exists.

Therefore, that God does not exist.

If you dispute that, prove this God exists.
 
Unaelewa freely willing is different from freewill?

Kwamba ukiwa na uhuru wa kukata kulia au kushoto huna uhuru wa kwenda unakotaka?

Kwamba ukiwa na uhuru wa kuchagua rangi nyeusi au nyeusi tu huna uhuru wa kuchagua rangi yoyote unayotaka?
Hapana

HAPANA

Ndiyo

Tupatie na tafsiri yako ya neno upendo, na tuambie kama unakubaliana na kauli kwamba 'ni vyenye utashi pekee vinavyoweza kupenda'
 
Hapana binafsi nauchukulia huu kama muendelezo wa mjadala mzima na sio kosa kujibu post yoyote hata kama haikuelekezwa kwako mojakwamoja. Ningependa uijibu hiyo post nawe pia.

Au inawezekana nilipokuwa nasema nimeshajibu nilikuwa nimemjibu mtu mwingine? Kama policy yako ni kutoscan the entire discussion basi ngoja nikaikopi kule nilikowahi kuijbia kuhusu uhalisia;
'''''Kuhusu suala la fact vs imani unajidanganya. Hata fact tunavyoiona inatofautiana kutokana na 'imani' ya anayeitazama hiyo fact.
Fact inaweza kuwa ni homa au maumivu lakini kwenye kusema ni kitu kiovu au ni kitu chema itategemea na imani zetu. Mimi nikipata homa labda naamini ni mwili wangu unanisaidia kupambana na virusi hivyo ninaishi - Purpose is good.

Hapa nimetumia neno imani kama namna tunavyochukulia kuwa ukweli wa mambo ndivyo ulivyo yaani uhalisia'''' niliwahi kujibu hivi niambie je unakubali kuwa hivyo ndio uhalisia ulivyo. Kama sivyo kajibu pia swali la Kisai nahitaji maoni yako kwa hilo pia
Fact itazamwe kwa imani tena?

"Mimi nikipata homa labda naamini ni mwili wangu unanisaidia kupambana na virusi hivyo ninaishi"

Hapa umeongelea opinion
 
Mfano hapa najibu, mimi simfahamu...🤦‍♂️
Nakufahamisha sasa kwamba huyo eric anaishi kwa kula Mungu na Miungu

Since Eric ni God eater na hana kingine cha kufanya zaidi ya kula Mungu/Miungu basi nina hakika Mungu wako alikwisha liwa na huyu Eric

Can you prove me wrong?

Unaweza kuthibitisha Eric aliyemla Mungu wako na kumfanya asiwepo kuwa hayupo?

Hapo una machaguo mawili

1. Uthibitishe Eric God/Goodness eater hayupo (kitu ambacho huwezi)
2. Au ushindwe kuthibitisha hayupo

Outcome ya hayo machaguo mawili yote yataonesha Mungu hayupo
 
Back
Top Bottom