Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa hiyo kwa mujibu wako hakuna universal definition ya uhalisia?Uhalisia nilishaudefine katika uhalisia wangu, uhalisia wako na uhalisia kiujumla na umeukataa! we katafute tu huo uhalisia unaoutafuta bro.
Contradiction yoyote ni cotradiction hadi pale inapoacha kuwa contradiction, nakubali hata ndogo ni contradiction. Kukiwa na contradiction ni kweli hicho kitu kina uwongo bado.
Contradiction zinaweza kuondoka hata kama sentesi itabaki vilevile suala tu uhalisia upanuke, mfano;
Baba hapendi niumie ndio maana ananichapa........ hii kwa mtoto mdogo [asiyeelewa kusudi] unaweza kueleza hadi kesho ila akikua kidogo anaelewa hapohapo na sentensi haijabadilika kitu. Contradiction imeyeyuka!!! Ni uhalisia wa muelewaji ndio ulioyeyusha contradictions ndogondongo hizo
Kama hakuna universal definition basi usiweke universal claim
Sasa mtu akisema jambo fulani ni la kweli na huo ni uhalisia mnapaswa mkubali, tunafanyaje kujua jambo hilo ni halisia kweli na sio kafanya usanii kuturubuni?