Going Bongo
Member
- Jul 21, 2014
- 25
- 10
watu wanauliza kanumba!
Mleta mada anaitwa going bongo move anayoipa promo ni going bongo nami sitashanga kama anakunywa gongo
The Boss, ni kampuni mpya ambazo tumeziansha kutengeneza movie za Tanzania na Afrika kwa ujumla. Rogue Tanzania na Busy Bee Production.
Tunajaribu kuboresha viwango vya movie zetu ili zikae kimataifa kidogo.
Taratibu taratibu lakini tutafika, Inshallah