Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

I guarantee hii iko tofauti King'asti Script imechukua mwaka mmoja na tumeshoot karibia mwaka mmoja. Angalia trailer uone quality. Sawa bado hatujafikia Hollywood lakini hii ni hatua kubwa. Bila support hatuwezi kwenda popote. Babysteps dear...K
Picha kwenye hiyo kava ya movie, hao watu wanaoonekana hapo pichani mmewalipa? na wao ni sehemu ya casts?
 
mie nakuombea ubadili mawazo kwani hata mie nilikuwa na mawazo kama yako ila namshukuru Allah, jamani waigizaji wamejitahidi Alhamdulillah...huwezi amini ... mwenzetu kajitahidi kuondoa ile dhamira ya wabongo hawawez, tujitahidi kumsupport, nakuhakikishia wamejitahidi
 
mi nlitegemea nitawaona wasanii wa bongo kama akina ray
 
attachment.php




Going Bongo ni movie ya kwanza ya kimataifa iliyotengenezwa na Watanzania na kuwashirikisha
Wamarekani, Wakenya na nchi nyingine mbalimbali kama Italy, UK, Serbia, Malawi, South Africa na nyinginezo.

Inahusu daktari wa kimarekani ambaye anakuja kimakosa kufanya kazi katika hospital ya Dar-es-Salaam, Tanzania

DVD ya Movie hii inapatikana hapa: http://bit.ly/goingbongoDVD au

Unaweza kuidownload iTunes http://bit.ly/goingbongoitunes

hiyo ndo cover ya hio movie ?
 
Last edited by a moderator:
Tunaongea na distributors hapa Dar. Bado hatujakubaliana as you know process hapa nyumbani... Lakini natumaini mwashoni wa August itatoka nyumbani pia... Kwa sasa ni wale walio nje wanaoweza kuona au wale wenye iTunes account za nje
 
Wapo wasanii wa Bongo kama Mzee Chilo, McDonald Haule, Evance Bukuku, Sauda Kilumanga. Lakini wengine hawakufit the project (hakuna characters ambao wangewafaa), walikuwa na kazi zingine au hawakuwa interested.
 
guys i've just watched the trailer on youtube.quality wise,shot techinique,sound and camera movement is awesome.halafu huyu main character ( sijui ndio huyu going bongo ?) wa hii movie sio mgeni sana machoni nahisi aliwahi kuwa tv presenter wa eatv miaka ya nyuma.i bet it could be above nairobi half life.my kudos to the techinical team behind it.cant wait.
naunga mkono hapo kwenye red.......na kwasababu hiyo naweza diriki kuitazama
 
mgeizindua kwenye theater mojawapo ya Dsm mgeuza sana
 
hey Tyta. I saw your comment today. I think unaniongelea mimi. Nilifanya kazi ya utangazaji Channel5 ambayo sasa ni EATV chini ya marehemu Mutie Mengi miaka zaidi ya kumi iliyopita. Halafu nikafanya muziki kidogo chini ya jina la MC Napo. Mimi pia ni mmoja ya waandishi wa hii filamu. Asante kwa comment yako, PA1!
 
Back
Top Bottom