Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

Asante kapolo. Asante kwa support yako. Tunahitaji support yenu wote. Tafadhali share na watu walio kwenye mailing list yako au social media yako.
Links:
Trailer: bit.ly/goingbongotrailer
iTunes: bit.ly/goingbongoitunes
DVD: bit.ly/goingbongodvd

"If real development is to take place, the people have to be involved."
Julius Kambarage Nyerere - 1973
 
Last edited by a moderator:
Nyumbani itakuja. Sijui kama unaelewa soko la nyumbani lilivyo, lakini lina watu kama wawili/watatu. Unless mtu anataka aingie hasara inabidi atafute njia mbadala. Kwa sasa bado tupo kwenye "negotiations". Tunatumaini mpaka mwisho wa mwezi ujao zitakuwa madukani.
 
wataje wabongo waliomo ndani ya movi, mbona haipewi kiki vyombo vya habari ka tv+radio? peleken matangazo tuione, je ipo madukani?
 
Asante @MTAZAMO Jambo tulilozingatia kusema ukweli ni uigizaji mzuri kwanza na kuona kama waagizaji tunaowachagua wanafit movie. Kama mamiss wana uwezo tunaweza kuwazingatia. Lakini hatuwezi kumchukua Miss ambaye hawezi kuigiza kwa vile yeye ni Miss. Mmoja ya waigizaji wetu alikuwa ni dada mdogo tu wa umri wa miaka 18 anaitwa Mariam Peter. Huyu data hajawahi hata kufanya Bongo Movie, lakini amekuwa ni mmoja wa waigizaji bora katika movie hii kuwazidi hata wakogwe wenye majina makubwa.
 
guys i've just watched the trailer on youtube.quality wise,shot techinique,sound and camera movement is awesome.halafu huyu main character ( sijui ndio huyu Going Bongo ?) wa hii movie sio mgeni sana machoni nahisi aliwahi kuwa tv presenter wa EATV miaka ya nyuma.i bet it could be above nairobi half life.my kudos to the techinical team behind it.cant wait.

Ni kweli mkuu huyu jamaa alikuaga mtangazaji Eatv na pia kaimba bongo fleva track kadhaa moja naikumbuka ina itwa "longolongo" ,"super star" km sija kosea.
 
Last edited by a moderator:
Asante @MTAZAMO Jambo tulilozingatia kusema ukweli ni uigizaji mzuri kwanza na kuona kama waagizaji tunaowachagua wanafit movie. Kama mamiss wana uwezo tunaweza kuwazingatia. Lakini hatuwezi kumchukua Miss ambaye hawezi kuigiza kwa vile yeye ni Miss. Mmoja ya waigizaji wetu alikuwa ni dada mdogo tu wa umri wa miaka 18 anaitwa Mariam Peter. Huyu data hajawahi hata kufanya Bongo Movie, lakini amekuwa ni mmoja wa waigizaji bora katika movie hii kuwazidi hata wakogwe wenye majina makubwa.
Nimeona trailer limenivutia sana. Ninacho amini ili uwe na kitu bora katika hii industry ni pamoja high skilled man power, well equipped na budget isiwe ya kitoto. I pray for you I wish one time tutoe action bora kama wenzetu tuwe na kina anold rambo jack bauer wa Tanzania
 
Kashasema anaitwa mc napo aka AfricaUnite.

yaaah 'mc napo blazamen' flani hivi.....Mkuu ume icheki trailler lakin? hii kitu ni something different ila tatizo uswahili sijui km itakubalika watu washa zoea vitu rahisi rahisi.
 
Last edited by a moderator:
yaaah 'mc napo blazamen' flani hivi.....Mkuu ume icheki trailler lakin? hii kitu ni something different ila tatizo uswahili sijui km itakubalika watu washa zoea vitu rahisi rahisi.

Nimecheck ipo poa ngoja tuisikilizie iingie kwakina kemcho balabalachee iamdabati.(iingie kwa mamu)
 
[QUOTE=King'asti. Mkuu utawaendelezaje hawa wasanii wa bongo wakati wanakataa kusoma wanataka kuwa wasanii wa maigizo, unapata mtoto anasema yeye hataki shule anataka kuwa mwigizaji unatengemea hiyo film atakayotengeneza itauzika kimataifa au itabaki tu hapa hapa bongo?
 
Tunashughulika kwa sasa launch ya Bongo Sista. Launch ikifanyika, itapatikana madukani. Kwa hivi sasa kama una iPad au iTunes account unaweza kuipata hapa: bit.ly/goingbongoitunes
 
Last edited by a moderator:
Tutanunua lazma,hatunabudi kuwa wazalendo kwa nchi yetu,bidhaa zetu,na ubunifu wa ndg zetu ktk sanaa.
 
Back
Top Bottom