Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

Going Bongo: Filamu ya kwanza ya Tanzania kukubalika Kimataifa

naunga mkono hapo kwenye red.......na kwasababu hiyo naweza diriki kuitazama

mkuu hakuna jambo silipendi ktk movie za kibongo kama noise aka unwanted sound.unaangalia movie kwenye dvd,wakati characters wakiwa ktk normal dialogue,unasikia jogoo anawika uwani,sauti ya ndege inapita angani,kelele za boda boda au kelele za watoto wanacheza kwa jirani nk.hii kitu sambamba na vingine vingi ndio vilinipelekea nikose mvuto wa kutazama bongo movies.mataifa ambayo sanaa ya filamu imepiga hatua,hufanya kitu kinaitwa ADR (audio dialogue replacement) na hufanyika ndani ya studio ambayo ni well sound proofed.hii husadia sana kuondoa noise.

maproducer wa bongo movies ni wavivu wa akili,hawa brainstorm. kila kitu wanafanya kwa mazoea,siku hizi recording studio zimejaa kila kona hapa dsm/tz.lakini hakuna hata mmoja aliye fanya ADR.kidogo hayati kanumba ndio alikuwa anaelekea huko ktk movie zake.ukimshauri mtu fanya ABC ili movie yako iwe babkubwa kimataifa,utasikia bajeti ndogo and bla bla.

sisi wengine hizi ndio field zetu tulizo ziendea shule,ndio mana tukitazama movie za mastaa wa bongo hujisikia kichefuchefu kwa jinsi wanavyo boronga.hutupo huko kwenye utumbo wa bongo movies ila tupo ktk upande wa kutengeneza documentary na matangazo.huku hakuna ujanja ujanja wala mazoea.vitu hufanyika kisomi na ki professional kuendana na field husika.
 
guys i've just watched the trailer on youtube.quality wise,shot techinique,sound and camera movement is awesome.halafu huyu main character ( sijui ndio huyu Going Bongo ?) wa hii movie sio mgeni sana machoni nahisi aliwahi kuwa tv presenter wa EATV miaka ya nyuma.i bet it could be above nairobi half life.my kudos to the techinical team behind it.cant wait.
ndo yule jamaa aliyeimba tafsiri hivi, tafsiri vike...'
 
Last edited by a moderator:
Mngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.

kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili
Nimefarijika kutambua nina wenzangu tunao share same views kuhusiana na fani hii ya filam hapa bongo!
Ukiziangalia filam zetu unahisi kabisa kama actor/actress hawajuani kabisa na character wake.script ovyo kabisa,movie haioneshi wakati utajua kuwa ni siku/wakati nyingine kwa mavazi au mtu anatoka kitandani yaaani weupe kwenye mandhari,unahisi kabisa directors na producers they just hang on their plot and have no idea how to finish their own story!sauti za waigizaji ndio majangahakuna uhalisia zogo mwanzo mwisho utafikri mtu anasoma risala!
 
jambo ulilolisema mkuu ni kweli nimeona ila nakuhakikishia kuwa hii movie ni ya tofauti... fungua moyo wako tena ili uweze angalia hii.
 
hii ni ya utofauti na ina viwango vya kimataifa, ukiangalia tu hata trailer utaona kuwa tumejitahidi.. pia shukrani kwa angalizo.
 
Mngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.

kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili
Kwangu ni marufuku kuangalia huu upuuzi wa kibongo
 
Mngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.

kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili

japo sikufahamu,nimeyapenda maoni yako
watching bongo n nigerian movies is a wastage of time
move inaanza unajua kabisa mwisho utakuwaje.
Labda zile komedy za kina majuto zinatoa stress na vile vimapacha vya nigeria
 
I like movies yenye quality ambayo inafanya kuona kuwa si maigizo bali kama ndio uhalisia.
Hii movie iko na viwango vizuri ...inaonekana utayarishaji umehusisha professional kama ku support Bongo movie basi huu ndio wakati .
This is best movie in Bongo so far...
 
guys i've just watched the trailer on youtube.quality wise,shot techinique,sound and camera movement is awesome.halafu huyu main character ( sijui ndio huyu Going Bongo ?) wa hii movie sio mgeni sana machoni nahisi aliwahi kuwa tv presenter wa EATV miaka ya nyuma.i bet it could be above nairobi half life.my kudos to the techinical team behind it.cant wait.

Isije kuwa unamfananisha na Marc Anthony yuel musician na ex hushband wa Jennifer Lopez
 
Keep up the good work "Going Bongo" team fanyeni mapinduzi ya kweli maana hizi movie za bongo ni majanga me siyo mpenzi wa bongo movies ila hii ntaiangalia inaonekana nzuri.
 
Mie nikitaka kuangalia comedy zipo zenye akili, sio vichekesho vya kipuuzi visivyo stimulate ufahamu. Kina wayn brothers, kevin hart, sinbad, desiree murch, tyler perry na wengineo. Wenzetu kenya wana eric omondi, walau he makes political jokes and football that i can relate to.

Hebu wacheki hao jamaa uone vichekesho vyenye akili. Kuna mnaijeria simkumbuki, nae niliona akiongelea how africans get killed in a movie nikacheka sana.
Labda zile komedy za kina majuto zinatoa stress na vile vimapacha vya nigeria
 
hapana bro, lol. Huyu Mtanzania kabisa... Tupo naye Dar hivi sasa. Alifanyaga Bongo Flava kitambo enzi za Zeze, Ugali etc. Alikuwa na nyimbo ya "Supastaa wa Bongo" na "Tafsiri". Pia mtangazaji wa Channel 5 kipindi cha Mutie Mengi ambayo sasa ni EATV
 
kweli trailer ni nzuri sana, kweli mmepiga hatua. big up.. lkn ndo muanze kuchukua matukio ya kihistoria muweke kwenye movie. kama vita vya majimaji
 
Back
Top Bottom