Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,603
- 2,039
naunga mkono hapo kwenye red.......na kwasababu hiyo naweza diriki kuitazama
ndo yule jamaa aliyeimba tafsiri hivi, tafsiri vike...'guys i've just watched the trailer on youtube.quality wise,shot techinique,sound and camera movement is awesome.halafu huyu main character ( sijui ndio huyu Going Bongo ?) wa hii movie sio mgeni sana machoni nahisi aliwahi kuwa tv presenter wa EATV miaka ya nyuma.i bet it could be above nairobi half life.my kudos to the techinical team behind it.cant wait.
Nimefarijika kutambua nina wenzangu tunao share same views kuhusiana na fani hii ya filam hapa bongo!Mngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.
kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili
Kwangu ni marufuku kuangalia huu upuuzi wa kibongoMngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.
kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili
HeheheeeMleta mada anaitwa going bongo move anayoipa promo ni going bongo nami sitashanga kama anakunywa gongo
Mngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.
kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili
guys i've just watched the trailer on youtube.quality wise,shot techinique,sound and camera movement is awesome.halafu huyu main character ( sijui ndio huyu Going Bongo ?) wa hii movie sio mgeni sana machoni nahisi aliwahi kuwa tv presenter wa EATV miaka ya nyuma.i bet it could be above nairobi half life.my kudos to the techinical team behind it.cant wait.
Isije kuwa unamfananisha na Marc Anthony yuel musician na ex hushband wa Jennifer Lopez
Labda zile komedy za kina majuto zinatoa stress na vile vimapacha vya nigeria