Mie nikitaka kuangalia comedy zipo zenye akili, sio vichekesho vya kipuuzi visivyo stimulate ufahamu. Kina wayn brothers, kevin hart, sinbad, desiree murch, tyler perry na wengineo. Wenzetu kenya wana eric omondi, walau he makes political jokes and football that i can relate to.
Hebu wacheki hao jamaa uone vichekesho vyenye akili. Kuna mnaijeria simkumbuki, nae niliona akiongelea how africans get killed in a movie nikacheka sana.
imetengenezwa na kampuni gani?
imewahi kuoneshwa theater? wapi?
swali la msingi!
http://m.imdb.com/title/tt2380390/
Director Dean Matthew Ronalds
mkuu umemsahau Kijana wetu KINYAMBE
thanks john. Please share na watu wengine if you can. Hii ni project ndogo so tunategemea "word of mouth".
Tunajaribu kuleta mapinduzi ya filamu hapa nyumbani...
trailer: bit.ly/goingbongotrailer
download on itunes (especially if you have an ipad):bit.ly/goingbongoitunes
order a physical dvd (for memories) : bit.ly/goingbongodvd
Mngejitahidi kuboresha waigizaji kwanza. Tatizo la waigizaji wetu halina tofauti sana na la wanahabari wetu. Hizo zimekuwa fields za failures. Ukiangalia waigizaji wa marekani, na hata wakenya pia; wenzenu wameenda shule. Hata kama umesoma shule isiyo ya uigizaji inakuweka akili sawa. Nyie uigizaji ni factor ya weupe na hips. Scripts pia haziko original kivile.
kila la kheri, mie nilishagoma kuangalia both nigerian and bongo movies, naona zinanidumaza tu akili
Hongera Sana...inaonesha Ni movie nzurihey Tyta. I saw your comment today. I think unaniongelea mimi. Nilifanya kazi ya utangazaji Channel5 ambayo sasa ni EATV chini ya marehemu Mutie Mengi miaka zaidi ya kumi iliyopita. Halafu nikafanya muziki kidogo chini ya jina la MC Napo. Mimi pia ni mmoja ya waandishi wa hii filamu. Asante kwa comment yako, PA1!