Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
09dc48590b404acf8e833774e2b80ea0_342708991_6124463454327577_966906361825509135_n.jpg

Hutaki unaacha
🤣🤣🤣
 
Hili kombe la luzaz nimeamini kweli halina ishu,maana nimeangalia kule UEFA.COM eti timu zinazoongoza kushiriki EUROPA ni ile aliyokuw anacheza Peter Banda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CLUB BRUGGE, FC KOLN, na LIPULI za ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kudadek
 
Ki ukweli hilo kombe halina mvuto sababu lina timu dhaifu ambazo ukiwauliza hata wao hizo timu ni za wapi hawazijui. Ndiyo Maana hata Mashabiki wa hizo timu hawalifatilii wako busy na klabu bingwa kuandika HabarI za simba vs Wydad , Ahyl vs Raja n.k.
 
Hili kombe la luzaz nimeamini kweli halina ishu,maana nimeangalia kule UEFA.COM eti timu zinazoongoza kushiriki EUROPA ni ile aliyokuw anacheza Peter Banda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CLUB BRUGGE, FC KOLN, na LIPULI za ulaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kudadek
Lipuli za Ulaya 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom