Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

Hili sina ubishi hasa kwako ww mtani Bantu Lady nakujua vyedi umekamilika kila idara ndo hivyo tuu ww ni uto hatuna namna
CC: Bill
😄😄😄🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Asante mtani Kalpana sasa mtoto mzuri kama wewe ulitufaa Yanga. Huko mikia huwa bahati sana, kupata mtoto mzuri kama wewe 😍😍😍
Bill ukuje usikie habari za Yanga ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ijumaa si kuwashiwa moshi, mtawashiwa KUNI 😂😂😂😂😂😂
 
😄😄😄🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Asante mtani Kalpana sasa mtoto mzuri kama wewe ulitufaa Yanga. Huko mikia huwa bahati sana, kupata mtoto mzuri kama wewe 😍😍😍
Bill ukuje usikie habari za Yanga ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ijumaa si juwashiwa moshi, mtawashiwa KUNI 😂😂😂😂😂😂
Jamaniii 😆 😆 😆 Simba tamuu
Tutawashiwa kuni tena? Hahaa tutapata kisingizio cha kughairi mechi..
 
Haya yote ni maumivu ya rohoni. Mwaka jana mlishiriki hilo kombe na hatukusikia kelele hizi, leo yanga anafanya vema mnalibeza
 
Ukolo ni laana
JamiiForums-1561799200.jpg
 
Back
Top Bottom