Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

Ukiwa Jangwani kama ni mwanamke chura siyo ya kuulizia. Yanga siyo uwanjani tu, tuko full kotekote Bill
CC Kalpana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi punde tu tutatakuwa naye jangwani huyu, aliniahidi kuhamia jangwani ikiwa Wananchi tutabeba NBC PL 2022/2023.

Cc Kalpana Pisi Kali...[emoji28]
 
Ijumaa ndo mwisho wa maneno haya. Jumapili yataanza mapya na mtajuta
Tumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu.
 
Tumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu.
Hakuna wa kuzoeleka hapa..!! UTALALA NA VIATU
 
Back
Top Bottom