Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

Hili sina ubishi hasa kwako ww mtani Bantu Lady nakujua vyedi umekamilika kila idara ndo hivyo tuu ww ni uto hatuna namna
CC: Bill
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» Asante mtani Kalpana sasa mtoto mzuri kama wewe ulitufaa Yanga. Huko mikia huwa bahati sana, kupata mtoto mzuri kama wewe 😍😍😍
Bill ukuje usikie habari za Yanga ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ijumaa si kuwashiwa moshi, mtawashiwa KUNI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaniii πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† Simba tamuu
Tutawashiwa kuni tena? Hahaa tutapata kisingizio cha kughairi mechi..
 
Haya yote ni maumivu ya rohoni. Mwaka jana mlishiriki hilo kombe na hatukusikia kelele hizi, leo yanga anafanya vema mnalibeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…