Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 7,186 Reaction score 14,274 Apr 27, 2023 #61 Bantu Lady said: Ukiwa Jangwani kama ni mwanamke chura siyo ya kuulizia. Yanga siyo uwanjani tu, tuko full kotekote Bill CC Kalpana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Hivi punde tu tutatakuwa naye jangwani huyu, aliniahidi kuhamia jangwani ikiwa Wananchi tutabeba NBC PL 2022/2023. Cc Kalpana Pisi Kali...[emoji28]
Bantu Lady said: Ukiwa Jangwani kama ni mwanamke chura siyo ya kuulizia. Yanga siyo uwanjani tu, tuko full kotekote Bill CC Kalpana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Click to expand... Hivi punde tu tutatakuwa naye jangwani huyu, aliniahidi kuhamia jangwani ikiwa Wananchi tutabeba NBC PL 2022/2023. Cc Kalpana Pisi Kali...[emoji28]
Diazepam JF-Expert Member Joined Dec 3, 2020 Posts 1,263 Reaction score 3,523 Apr 27, 2023 #62 Ngalikihinja said: Ijumaa ndo mwisho wa maneno haya. Jumapili yataanza mapya na mtajuta Click to expand... Tumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu.
Ngalikihinja said: Ijumaa ndo mwisho wa maneno haya. Jumapili yataanza mapya na mtajuta Click to expand... Tumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Apr 27, 2023 #63 Diazepam said: Tumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu. Click to expand... Hakuna wa kuzoeleka hapa..!! UTALALA NA VIATU
Diazepam said: Tumeshawazoea nyie, kila siku mnasogeza goli, mlianza kusema ihefu wakadundwa kwao, mkaja nyie mkakandwa, mkasema wydad akalala kwa mkapa, mnazidi kutanua goli tu. Click to expand... Hakuna wa kuzoeleka hapa..!! UTALALA NA VIATU