Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

Nawaonea huruma hao watoto waliokusanywa watoto 200 kwenye chumba kimoja kama ng'ombe.Huku wazazi wakiwa hawana akili.
Mambo hayaendi ivyo unavyotaka wewe maendeleo yapo lakini sio kwenye kila sekta na ndio maana bado mapambano yanaendelea na izo pesa pia ni moja ya mapambano ya kukuza mpira wa Tanzania kimataifa kwaio relax
 
Mkuu huko sio kukuza mpira hizo ni political advantage.Mwanasiasa wa Bongo mwangalie kwa macho yote Kinyonga anaweza kukuambia ni Kambale.
 
Uo ni mtazamo wako umeamua kuona jambo hilo kisiasa ila ukweli ni kwamba io ni njia moja wapo ya kukuza soka la Tanzania
Mkuu huko sio kukuza mpira hizo ni political advantage.Mwanasiasa wa Bongo mwangalie kwa macho yote Kinyonga anaweza kukuambia ni Kambale.
 
Hivi hizo pesa za Goli la Mama inamana Msigwa anatembea nazo kwenye gari😂😂😂.Na huwa ninyingi,mana leo za Yanga zimetoka usiku uleule.
 
Kiukweli mkuu, mpira una mashabiki wengi sana na ushawishi ni mkubwa, mwanasiasa popote anapoona kuna ushawishi mfano muziki, filamu, mpira wa miguu na wao hupitia humo humo.

Hii maana yake ni kuongeza mvuto na ushawishi kwa waTanzania wapenda mpira, unafikiri pesa zinazotolewa shabiki kindakindaki akifika kwenye daftari la kudumu la kura atafanya nini?

No free lunch in Africa, hapa kinachonunuliwa ni nguvu ya ushawishi na kukubalika.

Lakini huko hospitali kuna raia ugonjwa unamuua kakosa milioni moja.

Tutafanya nini!!
Upo sahihi ndio walipoona watanzania wengi weakness zetu zilipo kwenye hizi timu.
 
Sasa kutwa kucha story zote vijiweni na maofisini ni mpira tu ulitaka wafanye nini watawala? mi naona ni sawa tu hadi siku tupate akili na kuondoa woga; ikiwezekana waongeze hadi mil50 kila goli;
 
Back
Top Bottom