Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

Hii nchi imeinama.Eti wabunge wapo😃😃😃
Kazi ya wabunge na wananchi wanaoizunguka hiyo shule ni ipi na hilo ndilo tatizo tulilonalo watanzania, silent society,(jamii mfu), ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti tunasubiri serikali, serikali mbona haikuletei chakula nyumbani kwako, tujiulize pia serikali ni nani kumbe serikali ni wewe, mimi na yule, yaani bora liende hiyo bora liende ndiyo maana shule ziko hivyo, (silence surrenders public responsibility)
 
Huu ni utakarishaji wa fedha, hizo pesa hazipo kwenye bajeti, yule karibu wa chaneta alijiuzulu kisa kuhoji kwanini serikali imeshindwa kusafirisha timu.
 
Kama anazitoa mfukoni mwake bas Haina shida!

Kama ni fedha za serikali na Kodi za wananchi basi itakua kama Taifa tuliamua hivyo na Dola ilinde maamuzi hayo bila kujali athari Wala faida take kwa jamii!!
 
Kazi ya wabunge na wananchi wanaoizunguka hiyo shule ni ipi na hilo ndilo tatizo tulilonalo watanzania, silent society,(jamii mfu), ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti tunasubiri serikali, serikali mbona haikuletei chakula nyumbani kwako, tujiulize pia serikali ni nani kumbe serikali ni wewe, mimi na yule, yaani bora liende hiyo bora liende ndiyo maana shule ziko hivyo, (silence surrenders public responsibility)
Kazi za jamii ilishaisha.Wamefyatua tofali wengine walijivuta wakajenga maboma lakini serikali haina ela ya kusapoti kumalizia hayo maboma mengine yanaanguka.Mkuu wananchi wakijitoa na serikali iweke nguvu zake tunalipa kodi kwa ajili hiyo,sio kila kitu wananchi wafanye kwa 💯
 
Je mme washirikisha wadau wa maendeleo?
 
Kuna Shule watoto wanasoma chini ya miti na kujisaidia maporini,wengine wakiwa wamekaa chini kwa kukosa madawati.Hii nchi ina ilishalaaniwa.😭
Izo pesa zinazo tolewa kwenye Goli la Mama nifedha inayotokana na makato ya timu baada ya mechi mbalimbali za kitaita na kimataifa.

Kinacho fanywa ingawa ni kwa asilimia ndogo ni kurudisha kiasi kidogo pale walipo vuna.
Soka katika Nchi hii kwasasa Lina ingizia Serikali fedha ya kutosha.
 
Walevi si huwa wanapewa pombe ila si hela za maendeleo (hata kama hela ya maendeleo ni theluthi ya hela ya pombe)
 
Goli moja Rais anatoa shilingi milioni 5.

ugenini Yanga ilishinda goli 4 - 20,000,000

View attachment 3078341

nyumbani Yanga imeshinda goli 6 - 30,000,000

View attachment 3078465

JUMLA 50,000,000 (MILIONI 50)

PIA SOMA

- News Alert: - FT: CAFCL - Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024
Unanyima watoto wadogo haki za Matibabu Ngorongoro wasio na kosa wala wasiojua nn kinaendelea unaenda kuwapa Yanga milioni 50 ujinga mtupu
 
Izo pesa zinazo tolewa kwenye Goli la Mama nifedha inayotokana na makato ya timu baada ya mechi mbalimbali za kitaita na kimataifa.

Kinacho fanywa ingawa ni kwa asilimia ndogo ni kurudisha kiasi kidogo pale walipo vuna.
Soka katika Nchi hii kwasasa Lina ingizia Serikali fedha ya kutosha.
Una uhakika na ulichokiandika?
 
Je mme washirikisha wadau wa maendeleo?
Mkuu hao wadau wa maendeleo unafikiri kila mahali wanatoa pesa yao?Ndio maana wanajenga kituo Cha michezo kizimkazi Wakati kile Cha Tff pale Kigamboni hakijakamilika unajua kwann?Kea sababu nao wanatafuta mahali watakaponufaika napo.Serikali itimize wajibu wake na sio kusogezea wanapitwa wadau wa maendeleo tukatembeze bakuli huko.
 
Back
Top Bottom