Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

Kuna Shule watoto wanasoma chini ya miti na kujisaidia maporini,wengine wakiwa wamekaa chini kwa kukosa madawati.Hii nchi ina ilishalaaniwa.😭
TIMU YA WANANCHI UKITAKA KODI XITOKE MBUGANI MKUU??
 
U yanga na usimba umetufanya kuwa mazombie....
mtu anauliza kabisa ety" roho inakuuma kwa kuwa hzo ela zimeenda yanga"... na wakati akiumwa anaishia duka la dawa kununua paracetmol.....gharama za kumudu kumuona dk hana
Maskin na walalahoi wanashangilia kama mambuzi meeh meeeh meeeh meeeh
Mambo hayaendi ivyo unavyotaka wewe maendeleo yapo lakini sio kwenye kila sekta na ndio maana bado mapambano yanaendelea na izo pesa pia ni moja ya mapambano ya kukuza mpira wa Tanzania kimataifa kwaio relax
 
Mkuu hao wadau wa maendeleo unafikiri kila mahali wanatoa pesa yao?Ndio maana wanajenga kituo Cha michezo kizimkazi Wakati kile Cha Tff pale Kigamboni hakijakamilika unajua kwann?Kea sababu nao wanatafuta mahali watakaponufaika napo.Serikali itimize wajibu wake na sio kusogezea wanapitwa wadau wa maendeleo tukatembeze bakuli huko.
Mwenzio kuna kitu nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa, iko hivi asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanategemea mjasiriamali,(mfanyabiashara), asilimia 20 inahusu mjasiriamali na yanayomzunguka na kumbe asilimia 20 ina nguvu hata kuua biashara endapo jamii itanyamaza, yaani kutoka kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukivihoji unaweza ambiwa uondoke hapo,pia jamii kumbe imeandaliwa kuto kuhoji, na endapo utahoji kwa sauti utakutana na kitu kinaitwa, (ostracism), hiyo code inatosha
 
Hii si sawa hata kidogo, na inasikitisha sana kuona kuna watu wanafurahia hii kasumba, heri hata ya yule mwingine alikuwa anazigawa mabarabarani kwa watu wenye uhitaji wa kweli.
 
Unanyima watoto wadogo haki za Matibabu Ngorongoro wasio na kosa wala wasiojua nn kinaendelea unaenda kuwapa Yanga milioni 50 ujinga mtupu
Inaumiza sana halafu mbaya zaidi naona kuna majitu yanatetea huu upumbavu....

Yaani limtu linaona ni sawa tu raisi kutumia pesa za umma kihole hivi na wakati kuna mambo mengi sana muhimu yanayohitaji pesa nchi hii.
 
Uo ni mtazamo wako umeamua kuona jambo hilo kisiasa ila ukweli ni kwamba io ni njia moja wapo ya kukuza soka la Tanzania
Mambo hayaendi ivyo unavyotaka wewe maendeleo yapo lakini sio kwenye kila sekta na ndio maana bado mapambano yanaendelea na izo pesa pia ni moja ya mapambano ya kukuza mpira wa Tanzania kimataifa kwaio relax

Uo ni mtazamo wako umeamua kuona jambo hilo kisiasa ila ukweli ni kwamba io ni njia moja wapo ya kukuza soka la Tanzania
Naona umekazana tu kuandika upuuzi mjinga wewe, haya ndio madhara ya kuwa na taifa lenye watu wenye upeo finyu na akili ndogo ambao ni zao la mfumo mbovu wa elimu.

Kutokana na aina ya watu kama wako CCM inajipa uhakika wa kutawala hili taifa kwa miaka mingine 60 ijayo, maana wanajua ni wapi pa kuwakamatia nyie wajinga.....!!

Yaani uko hapa kabisa umekaza mk** ndu eti mama anakuza soka la bongo kimataifa serious? Soka linakuzwaje kwa kigawa gawa pesa za umma kiholela holela ilihali kuna maeneo mengi tu yanayohitaji hizo pesa?

Kwani hao wachezaji wa Yanga wameajiriwa kufanya nini hapo klabuni? Hawalipwi mishaara? Hawalipwi bonus na klabu yao pale wanapofanya vizuri?

Kuna haja gani ya raisi kuwagawia mihela yote hiyo eti kuwapa motivation na wakati kufanya vizuri ni wajibu wao?

Na pia nani amekwambia hiyo ndio njia sahihi ya kukuza mpira wetu kimataifa? Kuwa na akili hata kidogo akiwa kama raisi njia bora ya kukuza mchezo wa mpira wa miguu ni kumwaga pesa kwenye development structures zilizopo hapa nchini kwa maana ya kuzifacilite ziweze kuwa na vitu vyote vinavyohitajika ku-groom vipaji vya mpira na kingine zaidi ni kudhamini mashindano mbali mbali katika level ya amateur hususani mashuleni, mfano nakumbuka zamani wakati bado nasoma kulikuwepo na mashindano ya PEPS CUP yalidhaminiwa na kampuni ya Peps ambayo yalihusisha shule zote za wilaya, yalifanyika kwa mtindo wa tournament... kwa hiyo hata Samia mwenyewe anaweza akafanya hivi tukayapa jina la SAMIA CUP na huko ndio akawa anamwaga hizo hela italeta tija, na sio kwenda kumwaga mihela kwa akina Aziz Ki ambao tayari wana mishaara na bonus kibao.

Yaani unakuta limtu limekomaa goli la mama...goli la mama, mama anakuza mpira wetu, wajinga mko wengi sana nchii hii
 
Nasikitika sana kwamba sitaweza kusoma bandiko lako kwasababu nina imani litakuwa limejaa matusi mengi badala ya hoja hivyo pole yako 🤣🤣
 
Hizo hela mama anazichezea kiukweli hata mimi zimeniuma, haha
 
Rais Samia alitoa ahadi yake ya kutoa hamasa kwa timu zinazo shiriki michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu vya YangaSC, Simba SC, Coastal Union na Azam FC kila Goli moja Rais anatoa shilingi milioni 5.

Na hadi sasa Yanga SC amenufaika zaidi ya kuvuna milioni 50 katika michezo yake miwili dhidi ya Vital'O katika ushindi wa Goli 4 kwa 0 na goli 6 0 jumla Yanga amefunga magoli 10.

Ugenini Yanga ilishinda goli 4 - 20,000,000

Nyumbani Yanga imeshinda goli 6 - 30,000,000

JUMLA 50,000,000 (MILIONI 50)

PIA SOMA

- News Alert: - FT: CAFCL - Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024
Ndicho kinachokukera?
Kolo oyeee
 
Nasikitika sana kwamba sitaweza kusoma bandiko lako kwasababu nina imani litakuwa limejaa matusi mengi badala ya hoja hivyo pole yako
Nasikitika sana kwamba sitaweza kusoma bandiko lako kwasababu nina imani litakuwa limejaa matusi mengi badala ya hoja hivyo pole yako 🤣🤣
Una haja ya kunisikitikia mimi, yakupasa ujisikitikie wewe mwenyewe kwa upofu na ujinga ulionao mpaka unashindwa kuona upuuzi uliopo kwenye hicho kitu mnachokiita goli la mama.

Nimekupa ufafanuzi mzuri sana kwa mtu mwenye akili timamu lazima angejipa muda wa kusoma na angeokota kitu.
 
Siwezi kuokota kitu kwako ndugu io sahau ila kaa ukijua goli la Mama linawapa morali wachezaji wa vilabu vya Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa na io inapelekea klabu hizo kushinda kwenye mechi zao na wakishinda faida zinakua nyingi kwanza nchi inapata kutambulika lakini pia mawakala wa wachezaji kutoka nchi mbali mbali wataanza kufuatilia mpira wa Tanzania na io itapelekea wachezaji wa ndani kupata fursa za kucheza nchi za nje na faida zitakua nyingi sana sasa wewe ni mtu mzima siwezi kukomaa kukufafanulia faida zitakazopatikana kwasababu ya uhamasishaji anao ufanya Raisi wetu na apo nmekupa kwa uchache tu.
 
Ni kupoteza pesa tu,Japo napenda mpira lakin katika mambo yanayohusu nchi kama haya inakera hata kama timu ninayoipenda ingebeba hizo pesa bado huo ni upuuzi tu
 
Siwezi kuokota kitu kwako ndugu io sahau ila kaa ukijua goli la Mama linawapa morali wachezaji wa vilabu vya Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa na io inapelekea klabu hizo kushinda kwenye mechi zao na wakishinda faida zinakua nyingi kwanza nchi inapata kutambulika lakini pia mawakala wa wachezaji kutoka nchi mbali mbali wataanza kufuatilia mpira wa Tanzania na io itapelekea wachezaji wa ndani kupata fursa za kucheza nchi za nje na faida zitakua nyingi sana sasa wewe ni mtu mzima siwezi kukomaa kukufafanulia faida zitakazopatikana kwasababu ya uhamasishaji anao ufanya Raisi wetu na apo nmekupa kwa uchache tu.
Tatizo ni akili na uwezo duni wa kung'amua ni nini ninachokisema ndio maana tunashindwa kuelewana, sitaki kukulaumu sana lamaana unaonekana tu wewe ni zao la mifumo mibovu ya elimu na makuzi iliyokulea chini ya serikali ya ccm.

Wapi nimesema kwamba mimi sijui umuhimu wa performance nzuri ya hivyo vilabu vyetu kimataifa?? Kwamba kwa akili yako haya unayoyasema hapa kwamba mimi siyajui au? Jamaa ninaujua mpira tena mare elfu moja kuliko unavyoujua wewe na nna uhakika nimeanza kuungalia kabla huko kijijini kwenu hamjanunua hata TV.

Goli la mama ni idea ya kipuuzi sana ambayo ni wapuuzi na watu wenye akili ndogo kama samia ndio mnayoishabikia na kuona yuko sawa.

watu wenye upeo finyu msiofikiri nje ya anasa kama mpira na starehe zingine hamuwezi kutuelewa sisi ambao tunaiangalia nchi hii kwa mapana kwenye kila angle.

Nchi yenye umaskini uliotamalaki kila kona kama hii unatoaje mamilioni kiholela holela eti unawapa motivation wachezaji ambao tayari wana mishaara yao? Nimekuuliza swali hapo naona hujataka hata kunuelewa kwani bila motivation ya kupewa mamilion hao akina Azizi ki hawawezi kushinda hizo mechi za kimataifa?

Hivi unatambua kwamba hao wachezaji ndio wana shauku na wanataji sana kushinda hizi mechi za kimataifa kuliko hata sisi huku mashabiki tunavyohitaji?

Wanapofanya vizuri soko lao linakuwa ambapo watasajiliwa na vilabu vikubwa kwenye ligi kubwa ambapo watapata maslahi makubwa zaidi yatayowanufaisha kwanza wao binafsi... sasa kwanin mama yenu anakuwa na kiraru raru cha kuwapo motivation ya mamilioni na nyie mashabiki vichwa nazi mna mtetea tu kwa jambo ambalo halina ulazima bali ni upoteza pesa tu.
 
Sawa tufanye wewe ndio uoo sahihi aya ishi na unacho kiamini nazani utakua umeelewa.
 
Huna unacho elewa wewe naona umejitahidi kuelezea lakini umetumia point nilizokupa izo izo naona umepata aibu ila huwezi kukubali 🤣🤣 sasa utake usitake ndio tayari io motisha inazaa matunda
 
Inaumiza sana halafu mbaya zaidi naona kuna majitu yanatetea huu upumbavu....

Yaani limtu linaona ni sawa tu raisi kutumia pesa za umma kihole hivi na wakati kuna mambo mengi sana muhimu yanayohitaji pesa nchi hii.
Taifa lina wapumbavu wengi sana
 
Vipi kuhusu potential benefits za iyo milioni 50?

hauoni kama itasaidia kuchochea sekta ya michezo ambayo ni ajira kwa vijana?

haoni kama timu kupambana kufunga goli nyingi itawezesha dunia ijue kwamba ligi yetu ina wachezaji wazuri ivyo mawakala wa nje wataweka kambi, wadhamini watakuja na timu zetu zitajiongeza thamani?

NB: Nimejaribu tu kuangalia faida ila sikubaliana sana na matumizi ya izo pesa kwa nchi kma yetu ambayo ina matatizo mengi sana ya msingi
 
Back
Top Bottom