- Thread starter
- #41
sanaHatari ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sanaHatari ...
Nasikia Yanga ni Timu ya WananchiGoli moja Rais anatoa shilingi milioni 5.
ugenini Yanga ilishinda goli 4 - 20,000,000
View attachment 3078341
nyumbani Yanga imeshinda goli 6 - 30,000,000
View attachment 3078465
JUMLA 50,000,000 (MILIONI 50)
PIA SOMA
- News Alert: - FT: CAFCL - Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024
Hao wagonjwa nao ni Yanga na Simbakuna wagonjwa hospitalini wanashindwa kulipia huduma
Wabunge hawapo?Kuna Shule watoto wanasoma chini ya miti na kujisaidia maporini,wengine wakiwa wamekaa chini kwa kukosa madawati.Hii nchi ina ilishalaaniwa.😭
Mimi ni shabiki wa Yanga. Ila siungi mkono haya matumizi ya pesa za walipa kodi kwenye masuala kama haya ya kununua magoli.Goli moja Rais anatoa shilingi milioni 5.
ugenini Yanga ilishinda goli 4 - 20,000,000
View attachment 3078341
nyumbani Yanga imeshinda goli 6 - 30,000,000
View attachment 3078465
JUMLA 50,000,000 (MILIONI 50)
PIA SOMA
- News Alert: - FT: CAFCL - Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024
Hii nchi imeinama.Eti wabunge wapo😃😃😃Wabunge hawapo?
Kazi ya wabunge na wananchi wanaoizunguka hiyo shule ni ipi na hilo ndilo tatizo tulilonalo watanzania, silent society,(jamii mfu), ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti tunasubiri serikali, serikali mbona haikuletei chakula nyumbani kwako, tujiulize pia serikali ni nani kumbe serikali ni wewe, mimi na yule, yaani bora liende hiyo bora liende ndiyo maana shule ziko hivyo, (silence surrenders public responsibility)Hii nchi imeinama.Eti wabunge wapo😃😃😃
Kazi za jamii ilishaisha.Wamefyatua tofali wengine walijivuta wakajenga maboma lakini serikali haina ela ya kusapoti kumalizia hayo maboma mengine yanaanguka.Mkuu wananchi wakijitoa na serikali iweke nguvu zake tunalipa kodi kwa ajili hiyo,sio kila kitu wananchi wafanye kwa 💯Kazi ya wabunge na wananchi wanaoizunguka hiyo shule ni ipi na hilo ndilo tatizo tulilonalo watanzania, silent society,(jamii mfu), ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti tunasubiri serikali, serikali mbona haikuletei chakula nyumbani kwako, tujiulize pia serikali ni nani kumbe serikali ni wewe, mimi na yule, yaani bora liende hiyo bora liende ndiyo maana shule ziko hivyo, (silence surrenders public responsibility)
Kamba zimeungua.Wanalala njaa.Anakula kwa urefu wa kamba yake mkuu!
Mlioko serekalini kuleni kwa urefu wa kamba zenu pia
Je mme washirikisha wadau wa maendeleo?Kazi za jamii ilishaisha.Wamefyatua tofali wengine walijivuta wakajenga maboma lakini serikali haina ela ya kusapoti kumalizia hayo maboma mengine yanaanguka.Mkuu wananchi wakijitoa na serikali iweke nguvu zake tunalipa kodi kwa ajili hiyo,sio kila kitu wananchi wafanye kwa 💯
Izo pesa zinazo tolewa kwenye Goli la Mama nifedha inayotokana na makato ya timu baada ya mechi mbalimbali za kitaita na kimataifa.Kuna Shule watoto wanasoma chini ya miti na kujisaidia maporini,wengine wakiwa wamekaa chini kwa kukosa madawati.Hii nchi ina ilishalaaniwa.😭
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya janja2 tumekupata.Goli moja Rais anatoa shilingi milioni 5.
ugenini Yanga ilishinda goli 4 - 20,000,000
View attachment 3078341
nyumbani Yanga imeshinda goli 6 - 30,000,000
View attachment 3078465
JUMLA 50,000,000 (MILIONI 50)
PIA SOMA
- News Alert: - FT: CAFCL - Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024
Unanyima watoto wadogo haki za Matibabu Ngorongoro wasio na kosa wala wasiojua nn kinaendelea unaenda kuwapa Yanga milioni 50 ujinga mtupuGoli moja Rais anatoa shilingi milioni 5.
ugenini Yanga ilishinda goli 4 - 20,000,000
View attachment 3078341
nyumbani Yanga imeshinda goli 6 - 30,000,000
View attachment 3078465
JUMLA 50,000,000 (MILIONI 50)
PIA SOMA
- News Alert: - FT: CAFCL - Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024
Una uhakika na ulichokiandika?Izo pesa zinazo tolewa kwenye Goli la Mama nifedha inayotokana na makato ya timu baada ya mechi mbalimbali za kitaita na kimataifa.
Kinacho fanywa ingawa ni kwa asilimia ndogo ni kurudisha kiasi kidogo pale walipo vuna.
Soka katika Nchi hii kwasasa Lina ingizia Serikali fedha ya kutosha.
Mkuu hao wadau wa maendeleo unafikiri kila mahali wanatoa pesa yao?Ndio maana wanajenga kituo Cha michezo kizimkazi Wakati kile Cha Tff pale Kigamboni hakijakamilika unajua kwann?Kea sababu nao wanatafuta mahali watakaponufaika napo.Serikali itimize wajibu wake na sio kusogezea wanapitwa wadau wa maendeleo tukatembeze bakuli huko.Je mme washirikisha wadau wa maendeleo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania si mmekuwa walevi wa mpira? Sa100 kaona awashikilie hukohuko ili msahau kufikiria mambo mengine ya msingi