AlphaPii
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 1,168
- 1,852
Muwe mnaangalia mpira msiwe kama wamama
Tatizo hujanisoma vizuri.
Nimesema hata kama ni kanuni iangaliwe upya,sio sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwe mnaangalia mpira msiwe kama wamama
Quick start lazima mwamuzi awe mchezoni.Si kila faulo kipenga kinapulizwa,quick start inaruhusiwa,wajilaumu azam kutosimama mbele ya mpira ili kuomba ukuta
Matukio ni mengi ila labda hujaelewa.
Refarii alikuwa anaongea na watu(wakabaji wa mpira)
Kama alikuwa haongei nao,it is right.
Quick start lazima mwamuzi awe mchezoni.
Wazee wakanuni si mmesema mnamtaka simba fainali malalamiko ya nn tenaTatizo hujanisoma vizuri.
Nimesema hata kama ni kanuni iangaliwe upya,sio sahihi.
Muwe mnaangalia mpira msiwe kama wamama
Wakati gani??
Refarii anaongea na watu?
Refa alipuliza filimbi mkuu labda hujaona vizuri. Ni uzembe wa Azam kumzonga mwamuzi badala ya kukaa kwenye maeneo muhimu kuzuia quick movement...Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.
Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.
Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.
Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.
Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.
Kipyenga kipulizwe.
Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe
Wenye faida na pigo wapige mpira.
Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.
Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.
Siwalaumu wachezaji wa Simba lakini je mwamuzi alikuwa anawahadaa wachezaji wa Azam? Maana walikuwa wanazungumza pale.Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile
Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking)
Azam au Mtu yoyote ambaye ni Mwanasoka ajue inapotokea faulo yoyote lazima kwanza ukazibe mpira, zibeni mpira huku wengine wanaongea na Mwamuzi
Wenzetu Ulaya ile mali hata akichezewa faulo anawahi kuidaka kwanza ikae eneo lake, wengine kwenye ukuta na wengine wanakaa karibu na mpira
Sasa Azam wengine wapo kwa Mwamuzi na wengine wanajipanga, wakaacha mpira kwa Simba, ni akili ya haraka Simba wakaitumia kufunga lile bao, hizo ndio akili za Wazoefu
Kilichotokea ni kuendelea kujifunza, kukomaa na kujua nini kinahitajika kwa wakati ganiView attachment 1830891
The best goalLile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile
Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking)
Azam au Mtu yoyote ambaye ni Mwanasoka ajue inapotokea faulo yoyote lazima kwanza ukazibe mpira, zibeni mpira huku wengine wanaongea na Mwamuzi
Wenzetu Ulaya ile mali hata akichezewa faulo anawahi kuidaka kwanza ikae eneo lake, wengine kwenye ukuta na wengine wanakaa karibu na mpira
Sasa Azam wengine wapo kwa Mwamuzi na wengine wanajipanga, wakaacha mpira kwa Simba, ni akili ya haraka Simba wakaitumia kufunga lile bao, hizo ndio akili za Wazoefu
Kilichotokea ni kuendelea kujifunza, kukomaa na kujua nini kinahitajika kwa wakati ganiView attachment 1830891
amepigwa azam wanalia yanga
maajabu hayatakwisha dunia hii
Ahaaa nimecheka sana nilivuoangalia marudio ya goli la simba ,yaani bruce kangwa yuko bize na refaree mara holi hilo hapoHakuna relationship hapo
Nimeaangali matukio tote
Hao marefarii hapo kila mmoja amechezesha ki professional sio huyu bwege wa Azam na simba.
Muwe mnaangalia mpira msiwe kama wamama