Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.

Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.

Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.

Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.

Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.

Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.

Kipyenga kipulizwe.

Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe

Wenye faida na pigo wapige mpira.

Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.

Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.
Am sorry to say hujui mpira Wala hufuatilii mpira

Jifunze Sheria kwanza

Halafu naona unatanguliza hisia zaidi kuliko uweledi 😃😃😃😃
 
1. Sasa refarii alikuwa anajadili nini nawachezaji?

2. Kujadiliana na wakinga ukuta tuseme refarii kachangia kuwahujum?

3. Kwanini refa aingilie nakuwapa maelezo azam.... alitaka wapange ukuta? Alitaka wasogee nyuma?

Please
Kwani refa kawafata hao azam au wao ndo walikua wanamzonga. Kosa la azam na wanaolaumu kwamba sio goal ni IMMATURITY kwenye mambo ya football.
 
Yes if there is no distraction or interference by a referee

That's why any distraction or non merit interfere occurs the free kick has to be retaken
Umeongezea ya kwako. Goli halali kabisa my any means. And its not the first of such kinds, and it will never be the last.
 
Kwa hiyo mchezaji akiwa anamsemesha refa inabidi asimamishe mchezo

Kwanini mpira

1. Ukimgonga referii unarudi kwake aukabidhi kwa wahusika

2. Kwanini mchezaji akiwa offside japo hajagusa mpira lakini kama kamcheza kipa kwa maana moja ama nyingine inaitwa distraction

Tunaongelea refarii kuwacheza Azam yaani distraction
 
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.

Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.

Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.

Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.

Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.

Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.

Kipyenga kipulizwe.

Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe

Wenye faida na pigo wapige mpira.

Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.

Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.

angalia iyo vedio
 
Kwani refa kawafata hao azam au wao ndo walikua wanamzonga. Kosa la azam na wanaolaumu kwamba sio goal ni IMMATURITY kwenye mambo ya football.

Tafuta reply weka hapa uone kuelekea kwake niwapi. Utaelewa
 
Umeongezea ya kwako. Goli halali kabisa my any means. And its not the first of such kinds, and it will never be the last.

Tanzanian referees need to improve their accuracy and need be aware of distortions they are doing to soccer fans

TFF need to be on top of this or else one day a referee might be killed in the pitch by mentally confused players
 
Lile goli kama magoli mengine.. wao wanamkaba refa badala wakabe mpira? angalieni hata mipira ya ulaya jamani magoli kama yale yanafungwa sana
Mkuu yanafungwa sana lakini marefa huwa hawafanyi distraction.... ikitokea anapiga filimbi ku align mambo katika haki
 
Mkuu yanafungwa sana lakini marefa huwa hawafanyi distraction.... ikitokea anapiga filimbi ku align mambo katika haki
Angalia vizuri lile goli, wachezaji wa Azam ndo wamemfuata refa wanamzonga zonga.. na kumbuka sheria ya mpira inaruhusu faulu kuanza kwa haraka. ndo kilichotokea leo mkuu... Azam wamejihujumu wenyewe
 
Tafuta reply weka hapa uone kuelekea kwake niwapi. Utaelewa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasikitika kusema kwamba ile ni clear goal, azam walipaswa kublock mpira na sio kwenda kumzonga mwamuzi wangekua na ukomavu wangebishana na refa huku wame guard mpira usipigwe.
 
Raha ya soccer inaleta heshima sana pale mshindi anapatikana kwa haki.

Watu wanafurahi na wote wanaridhika walioshinda na walioshindwa

Ujanja ujanja na magumashi hupeleka masononeko nakuharibu utamu na radha safi ya soccer.
Sio kwamba unamuogopa mnyama
 
Angalia vizuri lile goli, wachezaji wa Azam ndo wamemfuata refa wanamzonga zonga.. na kumbuka sheria ya mpira inaruhusu faulu kuanza kwa haraka. ndo kilichotokea leo mkuu... Azam wamejihujumu wenyewe

Umeangalia vuzuri position ya refa? Wakati mpira unapigwa
 
Back
Top Bottom