pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Kwa hiyo mchezaji akiwa anamsemesha refa inabidi asimamishe mchezoSasa wewe umeona refa anangea nawachezaji hapo?
Muangalie wa Azam Vs Simba kisha muangalie huyu wa Spain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mchezaji akiwa anamsemesha refa inabidi asimamishe mchezoSasa wewe umeona refa anangea nawachezaji hapo?
Muangalie wa Azam Vs Simba kisha muangalie huyu wa Spain
Am sorry to say hujui mpira Wala hufuatilii mpiraFaulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.
Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.
Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.
Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.
Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.
Kipyenga kipulizwe.
Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe
Wenye faida na pigo wapige mpira.
Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.
Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.
Wazee wa kususaMuhimu aliyefungwa siyo Yanga, angeondoa timu au angeomba kanuni.
Kwani refa kawafata hao azam au wao ndo walikua wanamzonga. Kosa la azam na wanaolaumu kwamba sio goal ni IMMATURITY kwenye mambo ya football.1. Sasa refarii alikuwa anajadili nini nawachezaji?
2. Kujadiliana na wakinga ukuta tuseme refarii kachangia kuwahujum?
3. Kwanini refa aingilie nakuwapa maelezo azam.... alitaka wapange ukuta? Alitaka wasogee nyuma?
Please
Umeongezea ya kwako. Goli halali kabisa my any means. And its not the first of such kinds, and it will never be the last.Yes if there is no distraction or interference by a referee
That's why any distraction or non merit interfere occurs the free kick has to be retaken
Kwa hiyo mchezaji akiwa anamsemesha refa inabidi asimamishe mchezo
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.
Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.
Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.
Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.
Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.
Kipyenga kipulizwe.
Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe
Wenye faida na pigo wapige mpira.
Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.
Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.
Hata hivyo wamemstahi sana! Azam wananidhamu sana! Yaan anawapigisha stori afu anakubali goli!Alichokifanya golikipa wa Azam kwa refa baada ya kufungwa goli, asipoadhibiwa nitashangaa. Azam walimkabili refa ilikuwa bado kidogo tu Askari wangeingilia kati.
Kwani refa kawafata hao azam au wao ndo walikua wanamzonga. Kosa la azam na wanaolaumu kwamba sio goal ni IMMATURITY kwenye mambo ya football.
We ndo takataka hujui sheria za mpiraMarefarii wa bongo takataka
Yaani kanuni iangaliwe upya kwa vile tu Azamu wamefungwa kwa uzembe wao!!! Azam siyo wa kwanza kufungwa kwa uzembe huo!! Ushamba umewagharimu!!Tatizo hujanisoma vizuri.
Nimesema hata kama ni kanuni iangaliwe upya,sio sahihi.
Umeongezea ya kwako. Goli halali kabisa my any means. And its not the first of such kinds, and it will never be the last.
Kwani alikuwa wapiQuick start lazima mwamuzi awe mchezoni.
Mkuu yanafungwa sana lakini marefa huwa hawafanyi distraction.... ikitokea anapiga filimbi ku align mambo katika hakiLile goli kama magoli mengine.. wao wanamkaba refa badala wakabe mpira? angalieni hata mipira ya ulaya jamani magoli kama yale yanafungwa sana
Angalia vizuri lile goli, wachezaji wa Azam ndo wamemfuata refa wanamzonga zonga.. na kumbuka sheria ya mpira inaruhusu faulu kuanza kwa haraka. ndo kilichotokea leo mkuu... Azam wamejihujumu wenyeweMkuu yanafungwa sana lakini marefa huwa hawafanyi distraction.... ikitokea anapiga filimbi ku align mambo katika haki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasikitika kusema kwamba ile ni clear goal, azam walipaswa kublock mpira na sio kwenda kumzonga mwamuzi wangekua na ukomavu wangebishana na refa huku wame guard mpira usipigwe.Tafuta reply weka hapa uone kuelekea kwake niwapi. Utaelewa
Sio kwamba unamuogopa mnyamaRaha ya soccer inaleta heshima sana pale mshindi anapatikana kwa haki.
Watu wanafurahi na wote wanaridhika walioshinda na walioshindwa
Ujanja ujanja na magumashi hupeleka masononeko nakuharibu utamu na radha safi ya soccer.
Angalia vizuri lile goli, wachezaji wa Azam ndo wamemfuata refa wanamzonga zonga.. na kumbuka sheria ya mpira inaruhusu faulu kuanza kwa haraka. ndo kilichotokea leo mkuu... Azam wamejihujumu wenyewe