Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

Matukio ni mengi ila labda hujaelewa.

Refarii alikuwa anaongea na watu(wakabaji wa mpira)

Kama alikuwa haongei nao,it is right.

Yes

Refarii alipaswa asiwe sehemu ya mjadala.... alikuwa anawaambia nini Azam.

Kwangu mimi hilo ndio tatizo

Psychologically refarii amewacheza Azam na amechangia goli kufungwa
 
Refa alipuliza filimbi mkuu labda hujaona vizuri. Ni uzembe wa Azam kumzonga mwamuzi badala ya kukaa kwenye maeneo muhimu kuzuia quick movement...
 
Siwalaumu wachezaji wa Simba lakini je mwamuzi alikuwa anawahadaa wachezaji wa Azam? Maana walikuwa wanazungumza pale.
 
Alichokifanya golikipa wa Azam kwa refa baada ya kufungwa goli, asipoadhibiwa nitashangaa. Azam walimkabili refa ilikuwa bado kidogo tu Askari wangeingilia kati.
 
The best goal

Alipiga origi from Trent Arnold Liverpool wakaanua matanga

Yanga here we come
 
amepigwa azam wanalia yanga

maajabu hayatakwisha dunia hii

Raha ya soccer inaleta heshima sana pale mshindi anapatikana kwa haki.

Watu wanafurahi na wote wanaridhika walioshinda na walioshindwa

Ujanja ujanja na magumashi hupeleka masononeko nakuharibu utamu na radha safi ya soccer.
 
Very soon Biggy Mwaka lazima aitishe press kuhusu kesi ya Morrison iliyoko cas! 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…