Ukijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside positionHapo offside hakuna mkuu. Ukiangalia kupitia video mtoa pasi hakupokea na kutoa pasi moja kwa moja (hapo ingekuwa offside), ila alipokea halafua ameburuza mpira. Walichokosea mabeki wa Mwadui ni kusimama badala ya kumkaba Waziri Junior. Vilevile kwenye move namna hiyo usitegemee kucheza offside trick. Hili ni sawa na goli walilofungwa Prisons na Simba (goli la kusawazisha) hapo hapo kwa Mkapa.
Hapo offside imekufa baada ya tuisila kupokea mpira akiwa onside hvyo kitendo cha tuisila kupiga pasi akiwa mbele ya mabeki automanic hakuna offside.Ukijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside positionView attachment 1825153
Hii sio ofside maana aliyekuwa na mpira tayari alishaivunja offside na pia mfungaji yupo nyuma ya mpira.wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?
View attachment 1824937
Sawa refa..wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?
View attachment 1824937
Mkuu unaangalia mechi za nje ili nikupe mifano hai. Tuisila angefinga mwenyewe ingekuwa ni sahihi kwasababu kaupokea mpira katika onside position lakini wakati anaupokea mpira tuisila, tayari waziri junior yupo kwenye offside. Offside position inaangaliwa mtoa assist wakati anapiga mpira kwenda kwa mfungajii, je mfungaji yupo katika position ipi.Hapo offside imekufa baada ya tuisila kupokea mpira akiwa onside hvyo kitendo cha tuisila kupiga pasi akiwa mbele ya mabeki automanic hakuna offside.
Kwakuwa kanuni zinasema ukipokea mpira ukiwa na mpinzani mmoja either akiwa goli kipa Peke yake au umemuacha nyuma akabaki beki pekee ndo offside.
hvyo ili iwe offside bas ilipaswa tuisila apokee akiwa mbele ya wapinzani tofaut na hvyo hakuna offside
Mchezaji hawezi kuwa offside mpaka mpira umfikie ndio anajulikana kuwa ameotea (Means Offside with Action). Ndio maana mchezaji akipewa pasi na akagundua kuwa akiucheza mpira atakuwa ameotea huwa anamwachia mchezaji mwingine mwenye uwezekano wa kuufikia mpira huo. Kwa hiyo kwa maoni yangu aliyefunga goli hakuwa offside kutokana na tafsiri ya sheria ya yenyewe ya Offside.Ukijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside positionView attachment 1825153
Nadhani wewe una tatizo...huyo Waziri alikuwa ameganda hapo??!!wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?
View attachment 1824937
Naomba nikuulize maswali mawili kutokana na tukio la mpira kwenda kwa Tuisila.Mchezaji hawezi kuwa offside mpaka mpira umfikie ndio anajulikana kuwa ameotea (Means Offside with Action). Ndio maana mchezaji akipewa pasi na akagundua kuwa akiucheza mpira atakuwa ameotea huwa anamwachia mchezaji mwingine mwenye uwezekano wa kuufikia mpira huo. Kwa hiyo kwa maoni yangu aliyefunga goli hakuwa offside kutokana na tafsiri ya sheria ya yenyewe ya Offside.
UNA upeo mdogo na mambo ya kimpira, jaribu kuficha ujinga wako kwa kuto-post usiyoyajua. Tuisila alishaua offside.wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?
View attachment 1824937
Ungeweka video ndio tungekufundisha kwani inaonekana hujui sheria ya Offside na hauko peke yako, mko wengi.
Hiyo picha imechukuliwa bila kuonyesha mazingira ya hapo awali kabla mpira haujafika hapo hivyo inaonekana wewe umeiweka ili kukidhi malengo yako ya kishabik.
Huwezi kuhesabu offside mtu haja receive mpira, offside ilivunjwa na Tuislila alipo drible mpiraUkijaribu kuangalia video kwa umakini, utaona kabla hata mpira haukumfikia mpiga cross (tuisila) Wazir alikuwa tayari yupo katika offside positionView attachment 1825153
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini ukiangalia sheria ni offside ya wazi kabisa. KwasbabuHuwezi kuhesabu offside mtu haja receive mpira, offside ilivunjwa na Tuislila alipo drible mpira
Halafu mkiambiwa ni wajinga mnakasirika? Hapo offside iko wapi sasa au hata sheria yenyewe ya offside huijui?wananchi wanatisha kwa hasira hata refa alijua kabisa angekataa lile goal wangemla nyama live..vitisho vyao vinafanya kazi kwa kweli kasoro tu mitambo ya magoli inashindwa kufanya mambo sijui gazeti la mwanaspoti lilitudanganya?
View attachment 1824937
karia jana kawaonea hurumaHalafu mkiambiwa ni wajinga mnakasirika? Hapo offside iko wapi sasa au hata sheria yenyewe ya offside huijui?
Huwezi kuwa shabiki wa Yanga ww.Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini ukiangalia sheria ni offside ya wazi kabisa. Kwasbabu
1) ukiangalia replay ni kwmba wakati mpira upo kwa Yacouba, Yacouba anampa pasi Tuosila ukimwangalia Waziri kwenye hilo tukio alikuwa tayari yupo kwenye offside position. Tuisila anachukua mpira anampa Waziri Junior ambaye alishakuwa kwenye offside position hapo kabla na bado ana receive mpira akiwa yupo kwenye offside position
Mimi siyo Yanga lakini acha upotoshaji, hakuna offside kwenye hilo tukio zaidi ya ushabiki.Mkuu unaangalia mechi za nje ili nikupe mifano hai. Tuisila angefinga mwenyewe ingekuwa ni sahihi kwasababu kaupokea mpira katika onside position lakini wakati anaupokea mpira tuisila, tayari waziri junior yupo kwenye offside. Offside position inaangaliwa mtoa assist wakati anapiga mpira kwenda kwa mfungajii, je mfungaji yupo katika position ipi.
Elezea hakuna offside kivipi mbona mimi natoa maelezo kwanini msipinge kwa hoja? Nataka uniambie mfungaji waziri tokea mpira upo kwa Yacouba yeye alikuwa position ipi onside au ni offside position? Toa darasa sio unasema upotoshaji halafu hautoi ufafanuziMimi siyo Yanga lakini acha upotoshaji, hakuna offside kwenye hilo tukio zaidi ya ushabiki.