Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Wewe Achana na Mambo ya South....! Kula ugali wako ushibe

We Maradona Kashawai kuifunga England goli La mkono....!

Mpaka Leo Matokea hayajabadilika itakuwa kutolewa Yanga....ndo ishatoka iyo
 
Ila Semi ameenda Masandawanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga ya kupaki bus mwanzo mwsho ndo uipe 60?

Hivi vichekesho wallah
 
Sisteri si unganisha taarifa hapo najua upo sawa kama Al Ahly wanapendelewa na huyo huyo refa attachable kuwapendelea hao Matajiri..
Sasa nyie ndo mlicheza na al ahly? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makolo mna makasiriko balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuonea huruma maana naweza kukuweka rumande kwa matusi hayo.

Mna
Umuweke nani rumande? Vurugwa taratibu bhana wee.
Poleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Semi ameenda Masandawanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga ya kupaki bus mwanzo mwsho ndo uipe 60?

Hivi vichekesho wallah

Kaenda kupitia mlango wa matuta na sio ndani yaa dk 180...

Ulimsikia kocha wa Sundowns akiielezea Yanga kiufundi?
 
Ushamba wa michuanao. Ingekuwa ahyly ungeona refa mwenyewe angeenda
Wahuni wakiamua hata umzonge vipi refa. Rejea fainali ya Wydad Casablanca Vs Esperance.
Wydad waligomea kabisa kuendelea na mechi mwisho wa siku Esperance wakapewa ushindi.
 
Hakuna kitu kama hiçho, kosa la refa huwezi kuwabebesha Mamelodi.

Unapotaka haki zingatia na haki za wengine.

Anayepaswa kuadhibiwa ni refa ndio maamuzi wa mwisho.
Hivi anaepaswa kuadhibiwa ni refa au watu wa VAR? Refa alisubiri aitwe na watu wa VAR lakini hawakufanya hivyo, mi nafikiri mchongo mzima ulikuwa kwa watu wa VAR ndiyo wanatakiwa wachunguzwe kwa rushwa [emoji119][emoji119]
 
Na ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?
Hukuona alivyokuwa mkali hakutaka mchezaji yeyote wa Yanga amsogelee hapo ndiyo nikaamini lao Moja, hii mechi ilipangwa vyovyote Mamelody na Ahly lazima wapite. Kibu Denis kachezewa rafu kwenye penalty box refa badala ya kutoa penalty kampa kadi ya njano,,, tukio la aina hiyohiyo dakika za mwisho akawapa penalty Ahly.
 
Kaenda kupitia mlango wa matuta na sio ndani yaa dk 180...

Ulimsikia kocha wa Sundowns akiielezea Yanga kiufundi?
Aliwapa faraja tyuuh, hakua ana maanisha.

Kwan hayo matuta, yanga hawakuhusika? Na km Yanga walikua bora walishindwa nn kupita kwa dkk 180? Na je kwenye matuta?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…