Hakuna kitakachobadilika zaidi ya kupotezeana muda tu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Semi ameenda Masandawanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda hukutumia muda kutafakari maelezo yangu ya awali, maana maelezo yapo wazi kabisa...
Pengine tugusie vitu hivi kama uliitazama mechi ya kwanza na ya pili kiufundi (weka upenzi wa Yanga pembeni)...
1. Timu iliyopata nafasi za wazi nyingi za ku-score ilikuwa ni Yanga, wastani wa nafasi za wazi kama 3 au 4 hivi, wangezitumia vyema wangepata goli 1 hadi 2...(ukosefu wa strikers makini)
2. Yanga katika mechi zote mbili, waliweza kuwadhibiti Sundowns kufika langoni mwao hivyo kupunguza hatari ya kufungwa, ukihesabu nafasi za wazi za Sundowns kufunga ni chache kuliko za Yanga...
3. Yanga wangekuwa na mtaji wa hata goli moja kwenye mechi ya kwanza, Sundowns angekuwa kwenye pressure zaidi kwenye mechi ya pili, na uwezekano wa kufanya makosa zaidi ambayo yangeweza kupelekea kuadhibiwa na Yanga zaidi (Yanga wapo vizuri sana kwenye kutumia makosa kwa sababu wanashambulia kwa counter attack)
4. Kocha yeyote kwenye mechi za mtoano huwa anataka amalize mchezo kwenye first leg, halafu kwenye second leg anacheza kwa umakini kulinda ushindi huku akitumia nafasi zinazopatikana kunenepesha ushindi wa awali...
Conclusion: Kiufundi katika mechi zote mbili Yanga 60%, Sundowns 40%...
Sasa nyie ndo mlicheza na al ahly? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisteri si unganisha taarifa hapo najua upo sawa kama Al Ahly wanapendelewa na huyo huyo refa attachable kuwapendelea hao Matajiri..
Umuweke nani rumande? Vurugwa taratibu bhana wee.Makolo mna makasiriko balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuonea huruma maana naweza kukuweka rumande kwa matusi hayo.
Mna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi naweza kukuweka Kinyumba.. kwa hayo mashauzi yako unayoyaleta hapa...
Mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa wamevurugwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamelodi wapumbavu sana sana, tena penati zote walizokosa yanga wamelazimisha apige motsepe.
Mmetolewaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila kona ni Yanga tu.....utadhani kile kikundi ni cha wacheza rede, hakisikiki kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nendeni nusu sasa,Nipo naangalia SABC hapa wanasema lile lilikuwa goli no doubt. Yanga tumenigwa ushindi
Waje hapa wasene na hii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda caf ya lipumbaView attachment 2956646
Ila Semi ameenda Masandawanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga ya kupaki bus mwanzo mwsho ndo uipe 60?
Hivi vichekesho wallah
Sema ninyi mshazoea kupigwa pigwa bhana ndio maana mnashangilia na kushangaa Yanga kutolewa..Sasa nyie ndo mlicheza na al ahly? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni wakiamua hata umzonge vipi refa. Rejea fainali ya Wydad Casablanca Vs Esperance.Ushamba wa michuanao. Ingekuwa ahyly ungeona refa mwenyewe angeenda
Wamorocco (Wydad) walishawahi kufanyi mwaka 2020 kama sikosei, VAR ilizimwa wakagomea mechi. Esperance wakaondoka na kombe lao.Ingekuwa timu kutoka Morocco au Misri ndo imefanyiwa hivyo pangechimbika
Hivi anaepaswa kuadhibiwa ni refa au watu wa VAR? Refa alisubiri aitwe na watu wa VAR lakini hawakufanya hivyo, mi nafikiri mchongo mzima ulikuwa kwa watu wa VAR ndiyo wanatakiwa wachunguzwe kwa rushwa [emoji119][emoji119]Hakuna kitu kama hiçho, kosa la refa huwezi kuwabebesha Mamelodi.
Unapotaka haki zingatia na haki za wengine.
Anayepaswa kuadhibiwa ni refa ndio maamuzi wa mwisho.
Hukuona alivyokuwa mkali hakutaka mchezaji yeyote wa Yanga amsogelee hapo ndiyo nikaamini lao Moja, hii mechi ilipangwa vyovyote Mamelody na Ahly lazima wapite. Kibu Denis kachezewa rafu kwenye penalty box refa badala ya kutoa penalty kampa kadi ya njano,,, tukio la aina hiyohiyo dakika za mwisho akawapa penalty Ahly.Na ni Kwa nini wachezaji hawakumfosi refa aende kuangalia VAR?
Aliwapa faraja tyuuh, hakua ana maanisha.Kaenda kupitia mlango wa matuta na sio ndani yaa dk 180...
Ulimsikia kocha wa Sundowns akiielezea Yanga kiufundi?
Mnaoshangaa kutolewa ni nyie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema ninyi mshazoea kupigwa pigwa bhana ndio maana mnashangilia na kushangaa Yanga kutolewa..