Ila waache ulozi.Motsepe ndiye CAF...
Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...
Next season Yanga ajitahidi asajili kimkakati, aongeze hata strikers wawili wenye njaa, atasumbua kama mwaka huu...
mkuu matokeo huwa yanaweza kubadilishwa ikibainika kulikuwa na upangaji wa matokeo, ila kikubwa sana CAF waseme tu je lile ni goli au si goli? then uamzi tunawaachia wao nini kifuate baada ya hapo wanahitaji ku clear air kabla haijakuwa mbaya na chafu zaidi kuliko hiiGumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.
Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.
Mashabiki wengi wa South Africa wanauliza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, ni Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?
Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazo, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.
Yanga ndio Washindi ila Mamelodi wamenufaika.
Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Elimu elimu elimuNa mimi naweza kukuweka Kinyumba.. kwa hayo mashauzi yako unayoyaleta hapa...
YANGA wamezoea kuhonga marefa ingekuwa Tanzania lile ni GOLIGumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.
Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.
Mashabiki wengi wa South Africa wanauliza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, ni Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?
Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazo, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.
Yanga ndio Washindi ila Mamelodi wamenufaika.
Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
mkuu matokeo huwa yanaweza kubadilishwa ikibainika kulikuwa na upangaji wa matokeo, ila kikubwa sana CAF waseme tu je lile ni goli au si goli? then uamzi tunawaachia wao nini kifuate baada ya hapo wanahitaji ku clear air kabla haijakuwa mbaya na chafu zaidi kuliko hii
Kwa hiyo mmeshaanza maandalizi ya mchezo wa nusu fainali?Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.
Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.
Mashabiki wengi wa South Africa wanauliza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, ni Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?
Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazo, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.
Yanga ndio Washindi ila Mamelodi wamenufaika.
Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Kabisa mkuu. Wewe ndio mpenda soka na hakiKuna hatua lazima zichukuliwe kuweka kumbukumbu Sawa.
Hatutaki ushindi wa mezani lakini refa aadhibiwe.
Kwani Eng Hersi naye si ana kacheo Ka mchongo uko CAF?
Hili haliwezi kuisha kimyakimya lazima refa aadhibiwe otherwise tutasema Yanga imeshiriki kupanga matokeo ndio maana key players watatu tumewakosa.
Eng Hersi popote ulipo, usikubali kukinywa kikombe hiki, ukikaa kimya bila kufile malalamiko na ushahidi CAF na wewe tutakuingiza kwenye kuñdi la waliochukuwa bahasha za Motsepe.
Kuna hatua lazima zichukuliwe kuweka kumbukumbu Sawa.
Hatutaki ushindi wa mezani lakini refa aadhibiwe.
Kwani Eng Hersi naye si ana kacheo Ka mchongo uko CAF?
Hili haliwezi kuisha kimyakimya
nasikia wanaundugu na JAY MELODYHiyo team sijui mamulodi sitakuja niipende tena

Hao SABC kuna mrusha matangazo hata hataki kuiskia hiyo machambawima, ndiyo mana fasta akaweka ubaoni.View attachment 2955309
SABC wao walishahesabu
Acha uongo, Saa ku-vibrate inatumika kwenye Goal Line Techinology na sio kwenye VAR.Refa haendi VAR kuangalia offside na goli kuvuka mstari
Anachoenda kuangalia ni penaty na potential red card
Hivo vingine anapewa taarifa tuu na VAR ama wenzetu ulaya mpira ukivuka tuu saa inavibrate
Na saa itavibrate endapo mpira utavuka wote bila kubaki hata punje.
Na ange inayoamua ni angle ya juu
Makosa kwenye uchezaji ni moja ya sehemu ya mpira. Hakuna kitakachobadilika. Hii siyo mara ya kwanza makosa kutokea. Kumbuka Maradona na gili la mkono. Lambard na goli lililokataliwa.Wenye uelewa pls