Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

Motsepe ndiye CAF...

Hii game Yanga walikuwa waimalize Dar, kuna watu nilikuwa nawaambia wenye ile game ya kwanza kwamba Yanga angetupia 1 tu, basi ndio ingekuwa kaingia nusu fainali...

Next season Yanga ajitahidi asajili kimkakati, aongeze hata strikers wawili wenye njaa, atasumbua kama mwaka huu...
Ila waache ulozi.

Juzi kuna mkoa jirani na Dar nilikua huko niliambiwa na wenyeji kuwa Yanga game yao ya hapa dar waliicheza huko.

Yaani game huwa zinachezwa kabla mkuu.

Uchawi upo.
 
Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.

Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.

South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.

Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.

Mashabiki wengi wa South Africa wanauliza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, ni Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?

Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazo, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.

Yanga ndio Washindi ila Mamelodi wamenufaika.

Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
mkuu matokeo huwa yanaweza kubadilishwa ikibainika kulikuwa na upangaji wa matokeo, ila kikubwa sana CAF waseme tu je lile ni goli au si goli? then uamzi tunawaachia wao nini kifuate baada ya hapo wanahitaji ku clear air kabla haijakuwa mbaya na chafu zaidi kuliko hii
 
YANGA wamezoea kuhonga marefa ingekuwa Tanzania lile ni GOLI
 
mkuu matokeo huwa yanaweza kubadilishwa ikibainika kulikuwa na upangaji wa matokeo, ila kikubwa sana CAF waseme tu je lile ni goli au si goli? then uamzi tunawaachia wao nini kifuate baada ya hapo wanahitaji ku clear air kabla haijakuwa mbaya na chafu zaidi kuliko hii
 
Attachments

  • FB_IMG_1712425387055.jpg
    FB_IMG_1712425387055.jpg
    25 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1712425352345.jpg
    FB_IMG_1712425352345.jpg
    46.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1712425339198.jpg
    FB_IMG_1712425339198.jpg
    48.4 KB · Views: 2
Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.

Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.

South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta wote wameungana kumshutumu Motsepe na kuilaani Mamelodi.

Inshort Ile Support ambayo kocha wa Mamelodi amelalamika haipati sasa ndio hatoipata kabisa hasa Kwa Wazulu wa Johannesburg, mechi za nusu fainali good option wakacheze Cape town watapata full support Kwa sababu Cape town hizi mechi za Champions league timu za Cape town hazina ubavu wa kutobowa.

Mashabiki wengi wa South Africa wanauliza, kama refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, ni Kwa nini hakwenda kuangalia VAR kuhusu goli?

Ushauri wangu Yanga watume malalamiko rasmi CAF, refa aadhibiwe hizo pesa za Motsepe ndio ajikimu nazo, ila matokeo ya uwanjani huwa hayabadirishwi na Mimi si muumini wa ushindi wa mezani.

Yanga ndio Washindi ila Mamelodi wamenufaika.

Sisi siyo milimani, Al Kisasi hakhi.
Kwa hiyo mmeshaanza maandalizi ya mchezo wa nusu fainali?
 
Kuna hatua lazima zichukuliwe kuweka kumbukumbu Sawa.

Hatutaki ushindi wa mezani lakini refa aadhibiwe.

Kwani Eng Hersi naye si ana kacheo Ka mchongo uko CAF?

Hili haliwezi kuisha kimyakimya lazima refa aadhibiwe otherwise tutasema Yanga imeshiriki kupanga matokeo ndio maana key players watatu tumewakosa.

Eng Hersi popote ulipo, usikubali kukinywa kikombe hiki, ukikaa kimya bila kufile malalamiko na ushahidi CAF na wewe tutakuingiza kwenye kuñdi la waliochukuwa bahasha za Motsepe.
Kabisa mkuu. Wewe ndio mpenda soka na haki
 
Refa haendi VAR kuangalia offside na goli kuvuka mstari

Anachoenda kuangalia ni penaty na potential red card

Hivo vingine anapewa taarifa tuu na VAR ama wenzetu ulaya mpira ukivuka tuu saa inavibrate

Na saa itavibrate endapo mpira utavuka wote bila kubaki hata punje.

Na ange inayoamua ni angle ya juu
Acha uongo, Saa ku-vibrate inatumika kwenye Goal Line Techinology na sio kwenye VAR.

Makolo wachawi.
 
Wenye uelewa pls
Makosa kwenye uchezaji ni moja ya sehemu ya mpira. Hakuna kitakachobadilika. Hii siyo mara ya kwanza makosa kutokea. Kumbuka Maradona na gili la mkono. Lambard na goli lililokataliwa.
 
Back
Top Bottom