Kuna raia ambaye halipi kodi nchi hii?Unalipa kodi? Kama hulipi nenda kanye
Wanatekwa na nani?Kwaiyo hujui kuwa Watanganyika wanatekwa na kuuliwa
Hujui kuwa Kuna ufisadi CAG alithibitisha
Hujui uwepo wa wizi wa kura
Hawa wote ulisikia wapi wakichukiliwa hatua na Serikali hii ya sultani wa Zanzibar
Weka ushahidi kama unalipa kodi. Umewahi kufanya returns?Kuna raia ambaye halipi kodi nchi hii?
We unadhani mishahara wanayolipwa polisi,wanajeshi,Rais na wengineo inatoka wapi kama siyo kwa mwananchi?
Aisee elimu ni muhimu sana hatakama mtu ukose ajira rasmi.Pole sana.
Na SerikaliWanatekwa na nani?
Serikali ni nini?Na Serikali
Kumbe muda wote nachat na shoga na pumbavu Moja tuSerikali ni nini?
Ulikuwawapoooo!!?Ile voters turnout iliwaumiza vibaya sana. Imeonekana madai ya cdm kuwa huwa mnawaibia kura ni kweli, maana wao wakishiriki ndio wapiga kura wanajaa. Hatimaye chama cha zamani kikashuhudia ukweli juzi. Saa hii mmbeki mmepanick vibaya.
Acha usenge, sheria gani inaruhusu kuua, kuteka na kuiba kura kwenye uchaguzi?Inalinda watu wake wanaoheshimu Katiba na sheria za nchi. Lakini wale wanaocha vituo vya mwendo kasi ni kudungwa njugu tu.
Golugwa alileta madhara gani ya Taifa?Mimi naomba haki imtendee haki kwa namna alivyoleta madhara katika taifa.
Hujaona vifo vya watanzania?Golugwa alileta madhara gani ya Taifa?
Alisema" We are officially cooked". Alisema haya kwenye uzi wake kule Jamiiforums Intelligence.Alisemaje?
Sio nilikuwepo, watanzania wote tumeona. Mlijificha muda mrefu sana kwa cdm kushiriki kwani walifanikiwa kujaza wapiga kura. Sasa ukweli umekuwa wazi. Zile nyomi zenu zimeenda kinyume na voters turnout.Ulikuwawapoooo!!?
Rais na wabunge wameshapatikana sasa tunaendelea na maisha kama kawaida.Sio nilikuwepo, watanzania wote tumeona. Mlijificha muda mrefu sana kwa cdm kushiriki kwani walifanikiwa kujaza wapiga kura. Sasa ukweli umekuwa wazi. Zile nyomi zenu zimeenda kinyume na voters turnout.
Ww labda, sisi hadi tupate mabadiliko, na sio ombi bali ni lazima hata kwa umwagaji mkubwa wa damu.Rais na wabunge wameshapatikana sasa tunaendelea na maisha kama kawaida.
Kuliko kusoma ushubwada wako acha nku ignoreSafi