GOOD NEWS: Ni Emmanuel OKWI ndani ya YANGA, asaini Miaka Miwili.

GOOD NEWS: Ni Emmanuel OKWI ndani ya YANGA, asaini Miaka Miwili.

Hivi Yanga anaengoza kamati
ya usajili ndio huyu Bin clebb? Kwakweli nikianzia na issue ya Mbuyu
Twite mpaka Okwi, basi ukiona amemsogelea demu wako inabidi umuombe
samahani akuachie maana kwa speed hii hakuna demu wa kuruka mbele yake
kama akimtaka.

aaaahh ahhhh...huyo mtu hafai hata kidogo! yeye vitendo tu!
 
Na katika matokeo ya MTANI JEMBE hadi kufikia jana saa 6 mchana ni-

SIMBA TSH. 8,119,200/-

YANGA TSH. 91,880,800/-
 
Na katika matokeo ya MTANI JEMBE hadi kufikia jana saa 6 mchana ni-

SIMBA TSH. 8,119,200/-

YANGA TSH. 91,880,800/-

Ha ha ha kweli Yanga ni team ya Wananchi wa Tanzania.
 
FIFA ilimruhusu Okwi kucheza SC Villa,Yanga wamemnunua Okwi kutoka SC Villa.Tunasema kila siku kamati ya usajili/Ufundi ya Simba kuna matatizo makubwa,jiulize kwa nini kila msimu wanafanya makosa
Mwenyekiti hana sababu tena ya kung'ang'ania kiti ajipime na ang'atuke kwa atuachie simba yetu amatupa maumivu sana ktk kipindi chake haswa ktk masuala ya usajil its enough let him go
 
wewe unaamini maneno ya viongozi wa simba?,pesa ilishaingia mifukoni mwao siku nyingi.Karibu yanga kwa mkopo kama ni mwanasimba hutakua wa kwanza bubu alishawafungulia njia mkuu.
Kiongoz hiyo haiwezekani simba ilikuwepo,itakuwepo na itaendelea kuwepo pasipo rage wala okwi na yamkini haya ni mawimbi tu baharin ayamfanyi nahodha kukikimbia chombo baharin.
 
Yanga imejipanga na watu makini..hawakurupuki kama wanasiasa wa Simba..
Kwa hili wakifanikiwa nawapa big up na watakuwa wamemvua nguo sana mwenyekiti wetu nazan atalia kwa mara ya pil na hana bud kuachia ngazi hana anachokiweza mbele ya wanaume wenzie.
 
Na katika matokeo ya MTANI JEMBE hadi kufikia jana saa 6 mchana ni-

SIMBA TSH. 8,119,200/-

YANGA TSH. 91,880,800/-

Wana Simba wengi tumevunjwa moyo na mwenenendo wa Timu yetu hatuhangaiki tena!! Ndo mana unaona hivyo
 
Kwa hili wakifanikiwa nawapa big up na watakuwa wamemvua nguo sana mwenyekiti wetu nazan atalia kwa mara ya pil na hana bud kuachia ngazi hana anachokiweza mbele ya wanaume wenzie.

Mwenyekiti alie kwa ajili ya Simba?
 
Mwenyekiti hana sababu tena ya kung'ang'ania kiti ajipime na ang'atuke kwa atuachie simba yetu amatupa maumivu sana ktk kipindi chake haswa ktk masuala ya usajil its enough let him go

Yani hata kwenda kwenye kahawa tunajishauri, Wakiongolea Usajili sisi vichwa chini.... Rage bhana!!! Ila malipo ni hapa hapa kwa jinsi unavyotuzalilisha wana Simba na wewe lazima uzalilike ikibidi hata ubunge uukose tunakuombea njaa
 
Bado tunamuwinda Mbwana Samantha na Thomas Ulimwengu..

ka! ka! ka! ka! ka! ka!
 
Ntakuwa wa mwisho kuamini hii habari ya Okwi kusaini yanga, kwanza magazeti yote hawajaweka hata picha wakati wa kusaini huu mkataba, pili sidhani kama Villa wana uwezo wa kumuuza Okwi kama mchezaji wao, walipewa tu kibali na FIFA achezee kwa mda wakati suala lake linashughulikiwa.
 
Tusubirie fitina za Msomali CAF na FIFA ama sivyo hana pa kutokea. Hapa ametegeka kisawa sawa.
 
Ngojeni tuwape zawadi yenu Wikiendi.

Haaaa!!! Eti sababu mmemsajili Okwi ndo mfikirie mtatufunga! Hata Yanga isajili Timu mzima ya Barcelona, na Simba isajili timu ya Umisseta Kanda ya Magharibi bado tutawafunga tu!!! Mtoto yake Nepi
 
Ntakuwa wa mwisho kuamini hii habari ya Okwi kusaini yanga, kwanza magazeti yote hawajaweka hata picha wakati wa kusaini huu mkataba, pili sidhani kama Villa wana uwezo wa kumuuza Okwi kama mchezaji wao, walipewa tu kibali na FIFA achezee kwa mda wakati suala lake linashughulikiwa.

Ingia kwenye tovuti ya Yanga, kisha mbona picha za Okwi akiweka Sign Yanga zimetoka!!
 
Haaaa!!! Eti sababu mmemsajili Okwi ndo mfikirie mtatufunga! Hata Yanga isajili Timu mzima ya Barcelona, na Simba isajili timu ya Umisseta Kanda ya Magharibi bado tutawafunga tu!!! Mtoto yake Nepi

Lile zali la kurudisha tena Goli 3 halitajirudi.
 
KARIBU YANGA OKWI
1391747_479984568785986_1404558754_n.jpg
 
Back
Top Bottom