- Thread starter
- #41
kama wewe ni mpenzi wa Simba na Aseno basi wiki hii itakua imekuishia vibaya sana
Tusubiri pambano la 'Nani Mtani Jembe'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wewe ni mpenzi wa Simba na Aseno basi wiki hii itakua imekuishia vibaya sana
Hivi Yanga anaengoza kamati
ya usajili ndio huyu Bin clebb? Kwakweli nikianzia na issue ya Mbuyu
Twite mpaka Okwi, basi ukiona amemsogelea demu wako inabidi umuombe
samahani akuachie maana kwa speed hii hakuna demu wa kuruka mbele yake
kama akimtaka.
Na katika matokeo ya MTANI JEMBE hadi kufikia jana saa 6 mchana ni-
SIMBA TSH. 8,119,200/-
YANGA TSH. 91,880,800/-
Mwenyekiti hana sababu tena ya kung'ang'ania kiti ajipime na ang'atuke kwa atuachie simba yetu amatupa maumivu sana ktk kipindi chake haswa ktk masuala ya usajil its enough let him goFIFA ilimruhusu Okwi kucheza SC Villa,Yanga wamemnunua Okwi kutoka SC Villa.Tunasema kila siku kamati ya usajili/Ufundi ya Simba kuna matatizo makubwa,jiulize kwa nini kila msimu wanafanya makosa
Kiongoz hiyo haiwezekani simba ilikuwepo,itakuwepo na itaendelea kuwepo pasipo rage wala okwi na yamkini haya ni mawimbi tu baharin ayamfanyi nahodha kukikimbia chombo baharin.wewe unaamini maneno ya viongozi wa simba?,pesa ilishaingia mifukoni mwao siku nyingi.Karibu yanga kwa mkopo kama ni mwanasimba hutakua wa kwanza bubu alishawafungulia njia mkuu.
Kwa hili wakifanikiwa nawapa big up na watakuwa wamemvua nguo sana mwenyekiti wetu nazan atalia kwa mara ya pil na hana bud kuachia ngazi hana anachokiweza mbele ya wanaume wenzie.Yanga imejipanga na watu makini..hawakurupuki kama wanasiasa wa Simba..
Na katika matokeo ya MTANI JEMBE hadi kufikia jana saa 6 mchana ni-
SIMBA TSH. 8,119,200/-
YANGA TSH. 91,880,800/-
Wana Simba wengi tumevunjwa moyo na mwenenendo wa Timu yetu hatuhangaiki tena!! Ndo mana unaona hivyo
Kwa hili wakifanikiwa nawapa big up na watakuwa wamemvua nguo sana mwenyekiti wetu nazan atalia kwa mara ya pil na hana bud kuachia ngazi hana anachokiweza mbele ya wanaume wenzie.
Mwenyekiti hana sababu tena ya kung'ang'ania kiti ajipime na ang'atuke kwa atuachie simba yetu amatupa maumivu sana ktk kipindi chake haswa ktk masuala ya usajil its enough let him go
Ngojeni tuwape zawadi yenu Wikiendi.
Ntakuwa wa mwisho kuamini hii habari ya Okwi kusaini yanga, kwanza magazeti yote hawajaweka hata picha wakati wa kusaini huu mkataba, pili sidhani kama Villa wana uwezo wa kumuuza Okwi kama mchezaji wao, walipewa tu kibali na FIFA achezee kwa mda wakati suala lake linashughulikiwa.
Haaaa!!! Eti sababu mmemsajili Okwi ndo mfikirie mtatufunga! Hata Yanga isajili Timu mzima ya Barcelona, na Simba isajili timu ya Umisseta Kanda ya Magharibi bado tutawafunga tu!!! Mtoto yake Nepi