GOOD NEWS: Ni Emmanuel OKWI ndani ya YANGA, asaini Miaka Miwili.

Naskia amepewa tzs 180 m,(mshahara exclusive),just to sign...
Holly macro....
 
Hivi Yanga anaengoza kamati ya usajili ndio huyu Bin clebb? Kwakweli nikianzia na issue ya Mbuyu Twite mpaka Okwi, basi ukiona amemsogelea demu wako inabidi umuombe samahani akuachie maana kwa speed hii hakuna demu wa kuruka mbele yake kama akimtaka.
Usikubali hata akukaribie wewe mwenye demu, wachilia mbali demu wako. Maana ni bora hata aondoke na huyo demu kuliko aondoke na wewe mwenyewe! Anatisha kuliko ukimwi!
 
Ivi uyu bin kleb ndo nani hapa mjini anatunyima raha?, iki kiburi anakitoa wapi?, mh. Rage umeonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa kupambana na uyu kijana anaejifunza fitna za mpira wa bongo.
 

Hamza amini hii ndo yanga
 
Ivi uyu bin Bleb ndo nani hapa mjini anatunyima raha?, iki kiburi anakitoa wapi?, mh. Rage umeonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa kupambana na uyu kijana anaejifunza fitna za mpira wa bongo.

Mpira ni PESA sio kelele na siasa.
 
HahahahahahaHahahahahahaHahahahahahaHahahahahahaHahahahahahaHahahahahahaHahahahahahaHahahahahahaHahahahaHahahahahaha
Cc Masuke wa Jamii Forum!
 
Last edited by a moderator:
Mbona una hasira sana? Yanga ya sasa inaweza kucheza soka la kimataifa na si kitaifa.

Iliweza lini kucheza soka la kimataifa?Yanga mtamfunga Simba mwisho wake mtabaki wa hapahapa.Kama ni soka la kimataifa mtaishia round ya kwanza tu kama wagonjwa wa kisukari kabla hamjatolewa kuja kununua mechi hapa nchini

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Historia yake inaanzia mtaa wa Kongo kule unakoanzia karibu na makao makuu ya Yanga. Palikua na ofisi ya mabasi ya Bin Kleb wakati huo miaka ya 80 mpaka mid 90's. Nadhani ndio walikua wamiliki wa mabasi hayo
Ivi uyu bin Bleb ndo nani hapa mjini anatunyima raha?, iki kiburi anakitoa wapi?, mh. Rage umeonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa kupambana na uyu kijana anaejifunza fitna za mpira wa bongo.
 
Yani hata kwenda kwenye kahawa tunajishauri, Wakiongolea Usajili sisi vichwa chini.... Rage bhana!!! Ila malipo ni hapa hapa kwa jinsi unavyotuzalilisha wana Simba na wewe lazima uzalilike ikibidi hata ubunge uukose tunakuombea njaa
Kaka we acha tu aibu vijiweni ila kwahil mm nadhani aje na kitu cha maana cha kutueleza manake aibu kk na sio ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…