Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,149
- 2,232
KARIBU YANGA OKWI
![]()
Dah!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KARIBU YANGA OKWI
![]()
KARIBU YANGA OKWI
![]()
Naskia amepewa tzs 180 m,(mshahara exclusive),just to sign...
Holly macro....
Usikubali hata akukaribie wewe mwenye demu, wachilia mbali demu wako. Maana ni bora hata aondoke na huyo demu kuliko aondoke na wewe mwenyewe! Anatisha kuliko ukimwi!Hivi Yanga anaengoza kamati ya usajili ndio huyu Bin clebb? Kwakweli nikianzia na issue ya Mbuyu Twite mpaka Okwi, basi ukiona amemsogelea demu wako inabidi umuombe samahani akuachie maana kwa speed hii hakuna demu wa kuruka mbele yake kama akimtaka.
Ntakuwa wa mwisho kuamini hii habari ya Okwi kusaini yanga, kwanza magazeti yote hawajaweka hata picha wakati wa kusaini huu mkataba, pili sidhani kama Villa wana uwezo wa kumuuza Okwi kama mchezaji wao, walipewa tu kibali na FIFA achezee kwa mda wakati suala lake linashughulikiwa.
Gama ha njoo huku
Ivi uyu bin Bleb ndo nani hapa mjini anatunyima raha?, iki kiburi anakitoa wapi?, mh. Rage umeonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa kupambana na uyu kijana anaejifunza fitna za mpira wa bongo.
Ha ha ha kweli Yanga ni team ya Wananchi wa Tanzania.
usikubali hata akukaribie wewe mwenye demu, wachilia mbali demu wako. Maana ni bora hata aondoke na huyo demu kuliko aondoke na wewe mwenyewe! Anatisha kuliko ukimwi!
Hizo wamezipata kwa kunywa Pombe...wacha wehu
Mbona una hasira sana? Yanga ya sasa inaweza kucheza soka la kimataifa na si kitaifa.
Ivi uyu bin Bleb ndo nani hapa mjini anatunyima raha?, iki kiburi anakitoa wapi?, mh. Rage umeonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa kupambana na uyu kijana anaejifunza fitna za mpira wa bongo.
Inategemea! Kama ni mfuasi wa anachokitetea David Cameron je?ataondokaje na mwanaume sasa?
Kaka we acha tu aibu vijiweni ila kwahil mm nadhani aje na kitu cha maana cha kutueleza manake aibu kk na sio ndogo.Yani hata kwenda kwenye kahawa tunajishauri, Wakiongolea Usajili sisi vichwa chini.... Rage bhana!!! Ila malipo ni hapa hapa kwa jinsi unavyotuzalilisha wana Simba na wewe lazima uzalilike ikibidi hata ubunge uukose tunakuombea njaa
Si nasikia mwezi ujao mnaanza ujenzi wa uwanja kule Bunju au?Kaka we acha tu aibu vijiweni ila kwahil mm nadhani aje na kitu cha maana cha kutueleza manake aibu kk na sio ndogo.