Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

Naomba kuuliza ivi nikitumia wordpress kutengeneza blog kuna ulazima wa kulipia hosting au nako naweza kufanya kama blogger tu nikatengeneza free blog alafu nikanunua domain tu godady nikapiga kazi hii imekaaje kwenye wordpress [mention]ContentCreator [/mention]
 
Kwa nnavyojua Wordpress.org ni lazima ununue hosting. Ila wordpress.com sio lazima. Ila site yako itakuwa yoursitename.wordpress.com na huwezi kufanya vitu vingi, for the long term, haitakusaidia chochote.
 
Mkuu kati ya Ezoic na Adscence ipi Kwa upande wako unaona ukipambana pesa unaweza kupata
Nadhani mkuu thesym ameeleza vizuri.
Ukiwa na traffic nzuri AdSense ni kupoteza muda tu.
Hamia Ezoic au hao wengine.
Ezoic ni wazuri kwan hawachagui location ya traffic, hata ya tz wanakubali. Ila hao wengine ni lazima majority of traffic iwe U.S.
 
Tricks Za Kupata Visitor wengi zaidi america na ulaya ni ipi wakali wa izi kazi mtupe tips izi ela ni za kudonload muimu kupeana nyanja haziishi kule jmn tusiwe wachoyo [emoji1787][emoji1787]
 
Tricks Za Kupata Visitor wengi zaidi america na ulaya ni ipi wakali wa izi kazi mtupe tips izi ela ni za kudonload muimu kupeana nyanja haziishi kule jmn tusiwe wachoyo [emoji1787][emoji1787]
Trick kuu ni kuandika na kupost vitu ambavyo wako interested navyo.

After that utaanza kupromote hizo post kwenye majukwaa ambao waamerika na wazungu hukaa mf. Facebook, Twitter, Pinterest (this is the best), Reddit, quora etc.

Kufanya hivyo itahitaji ujuzi wa kufanya keyword research kwa kutarget nchi unayotaka. It takes time, but it worth try.
 

Mkuu ivi kuna hii kitu apa error ivi nawezaje kuifix ?
 
nina blog yangu inaitwa og experiences nawezaje kuifanyia SEO
 
Nimejifunza mengi sana leo asanten kwa nyote mliochangia, mim nilifunguaga blog toka 2011 kama 4 kwa mda tofaut tofaut ila nikatemana nazo zote
Now ninampango wa kufungua mpya kabisa kwenye maswala ya urembo asilia ila hapo kwenye lugha sasa,
Hizi blog zenu mlizopost hapa jaman hiki kiingereza kimenyooka hivi mnawezaje kuandika fresh hivi, au wenzangu wa dady am going, sisi kina kayumba lugha gongana
Au kuna mahala mnabadili lugha kama google translate??? Nahisi niko nyuma sana ya technologia ila nataman kuandika kwneye blog zaid mana nina passion na hizi urembo
Naomben msaada hapo wataalam
[mention]tabibumtaratibu [/mention] [mention]francis mboya [/mention]
 

Lugha isikutishe. Andika kadri utakavyoweza, kuna tools kibao zitakusaidia kunyoosha grammar na spelling mf. Grammarly, quillbot etc.
 
Hii Tricks Of Making Money Online ni blog yenye domain ya freenom sasa napata shida kuipata ile sitemap yake maana nataka nikaiadd kwenye bing na others

Hua mnafanyaje wakuu
Nenda kwenye settings shuka mpk crawler and indexing then enable custom robots.txt
Chini yake kwenye iko kibox paste hii

User-agent: *
Disallow: /search
Allow: /

Sitemap: https://www.moneytricks.ga/atom.xml?redirect=false&start-index=1&max-results=500

Then save.

Baada ya hapo utaenda Google search console au bing webmaster na wengine kuadd io sitemap
 
Lugha utaiweza tu ukiamua kujifunza usiiogope
na pia kama unaweza pia kufanya ana YouTube videos fanya utapata pesa nzuri, sio rahisi lakini ni passive income nzuri kabisa matunda yake huonekana baada ya muda
 
Kitu nilichokipenda kutoka kwako mkuu ni kuwa user experience ni kipaombele chako. Thats very great in blogging world.
Kuhusu kukua na kujoin Google Ad manager pia ni strategy nzuri. All tha best mkuu
Broo blog yako inaitwaje ili tu visit na sisi tuongeze idadi ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…