Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Ndugu yangu majuzi apa nlipiga picha kwenye note 7 redmi mshikaji akasema tushindane yeye ana iphone 7+ izo potrait za gcam bro jamaa kasurender haamini kabisaa..gcam ni NOMAA
Tena ukitaka kuzifaidi upige zile za kukata nusu...aisee sio poa
 
Ninaomba ya Huawei P9 Android 7 Nougat mkuu

Mpka natamani niibadilishe simu japo ni simu moja taam saana
 
Ninaomba ya Huawei P9 Android 7 Nougat mkuu

Mpka natamani niibadilishe simu japo ni simu moja taam saana
Kwa huawei check kwenye appgallery yao,huwa ipo. Japo haina feature nyingi sana.search google camera utaiona
 
Huawei p9 mkuu sijaona gcam yake bado..

Hamia hata redmi note 7 utaenjoy gcam sana
Ebu nisaidie link nzuri ya kufanya TWRP katika redmi note 6 pro yangu niweke hii kitu na je kuna hasara ya kutopata Updates kwa kufanya hii kitu mkuu!

Chief-Mkwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…