Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Nilichogundua ni kwamba hiyo ndio correct version ya A30,sema shida ni kwamba camera 2 api iko disabled kweny A30 ndiomana potrait haifanyi kazi

So chakufanya tusubr new update itayokubali potrait bila camera 2 api kua enabled
 
Nimeidownload kwenye kaA30 kangu ila potrait na night sight ziko disabled

Pia ubora wa picha naona ni comparable na stock camera ya simu sasa sijui nakwama wapi
 
A30 camera 2 api iko disabled mkuu ndiomana hupati potrait,tusubr new update kama itafanya kazi bila ku enable camera 2 api
Nimeidownload kwenye kaA30 kangu ila potrait na night sight ziko disabled

Pia ubora wa picha naona ni comparable na stock camera ya simu sasa sijui nakwama wapi
 
Leagoo m13
Helio a22
Ram 4
Storage 32
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…