Zinatofautiana tu size za vioo pamoja na battery. But vilivyobaki vyote ni the same.
Hizi simu zina camera moja matata sana. Nadhani ndio google pixel yenye camera kali.
Pita youtube uone comparison zake na simu kama samsung s10+ na huawei p30 pro.
Na sijui kwann hiz simu hazishuki bei kama brand ya samsung inavyoshukaga hadi mtaan zinazagaaa kama njugu..Sema tu hizi simu wanafeli Maumbo yake bado ya kizamani wakati wenzao wapo less-bezel wao simu bado ziko old fashion pia bei zao dah mkasi na upatikanaji wake wa shida pia hata ukizitafuta mtandaoni inahitaji nguvu nyingi pia ili upate seller sahihi.
Hii hapaUnatumia gcam version ipi?
Font name pls wadau wa Redmi
6.2 ndo latest hiyo
Basi jarbu ya modder mwingine..si wapo weng mkuu
Aaah acha utani boss Gcam ni kali hapo pia wansema night sight ni kali zaidi kwa Gcam.Naona kama tunapigwa changa la macho Hala,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera π
View attachment 1168210
Picha ya gcam π
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
Kweli huna macho mazuri tizama hizo picha vizuri aiseeNaona kama tunapigwa changa la macho Hapa,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera π
View attachment 1168210
Picha ya gcam π
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
GCAM ipo vizuri kuliko camera ya simu ila picha za Muhindi Canon Itakuwa imetumika.Naona kama tunapigwa changa la macho Hapa,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera π
View attachment 1168210
Picha ya gcam π
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
Naona kama tunapigwa changa la macho Hapa,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera [emoji115]
View attachment 1168210
Picha ya gcam [emoji115]
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
How Mkuu Yaani zile za Sample mtandaoni au?GCAM ipo vizuri kuliko camera ya simu ila picha za Muhindi Canon Itakuwa imetumika.
How Mkuu Yaani zile za Sample mtandaoni au?
Pia hivi tunatambua mazingira pia huchangia kutoa picha nzuri hili lipo nalo.