Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Zinatofautiana tu size za vioo pamoja na battery. But vilivyobaki vyote ni the same.

Hizi simu zina camera moja matata sana. Nadhani ndio google pixel yenye camera kali.

Pita youtube uone comparison zake na simu kama samsung s10+ na huawei p30 pro.

Sema tu hizi simu wanafeli Maumbo yake bado ya kizamani wakati wenzao wapo less-bezel wao simu bado ziko old fashion pia bei zao dah mkasi na upatikanaji wake wa shida pia hata ukizitafuta mtandaoni inahitaji nguvu nyingi pia ili upate seller sahihi.
 
Na sijui kwann hiz simu hazishuki bei kama brand ya samsung inavyoshukaga hadi mtaan zinazagaaa kama njugu..
 
Wakuu mbona Gcam kwenye front camera haisapoti filters, nimeweka kwenye redmi note 7 pro.
Msaad tafadhali

kcamp
 
Unatumia gcam version ipi?
Hii hapa
Screenshot_2019-07-31-12-05-32-039_com.google.android.GoogleCamera.jpeg
 
Hiyo inaitwa "Best wishes"

Kama hujui namna ya kuweka ni hivi, ingia settings shuka angalia additional settings badili regio yako iwe India then rudi kwenye apps zako angalia app ya themes, ukiifungua chini kulia utaona alama "T" inaamanisha fonts hapo utachagua sasa
Ila uwe online
Font name pls wadau wa Redmi
 
Naona kama tunapigwa changa la macho Hapa,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
IMG_20190731_133807.jpg

Picha ya Default camera 👆
00000IMG_00000_BURST20190731133734843_COVER.jpg

Picha ya gcam 👆
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
 
Naona kama tunapigwa changa la macho Hala,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera 👆
View attachment 1168210
Picha ya gcam 👆
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
Aaah acha utani boss Gcam ni kali hapo pia wansema night sight ni kali zaidi kwa Gcam.
 
Naona kama tunapigwa changa la macho Hapa,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera 👆
View attachment 1168210
Picha ya gcam 👆
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
Kweli huna macho mazuri tizama hizo picha vizuri aisee
 
Naona kama tunapigwa changa la macho Hapa,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera 👆
View attachment 1168210
Picha ya gcam 👆
Je kuna utofauti wowote wakuu maana mi sioni utofauti.
GCAM ipo vizuri kuliko camera ya simu ila picha za Muhindi Canon Itakuwa imetumika.
 
Gcam mwisho wa matatizo mkuu

Kwaiyo nasisi wahindi? [emoji16]

Kama hupat picha nzur jarbu kutwist setting kdgo..au shusha version nyingne

Gcam hatar
Naona kama tunapigwa changa la macho Hapa,
Nina redmi note 7 na nimeweka latest version ya GCAM but sijafanikiwa kutoa picha Kali kama za hao wahindi.
View attachment 1168182
Picha ya Default camera [emoji115]
View attachment 1168210
Picha ya gcam [emoji115]

Back
Top Bottom