mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Kama hii auHvi wadau kuna picha ukiziangalia mtu unamuona vizuri kabsa Lakn Ile background inakuwa na kama ukungu fulani Hv au haionekani vizuri Sasa Ile kitu inasababishwa na kamera au ni Photoshop?
Hvi wadau kuna picha ukiziangalia mtu unamuona vizuri kabsa Lakn Ile background inakuwa na kama ukungu fulani Hv au haionekani vizuri Sasa Ile kitu inasababishwa na kamera au ni Photoshop?
Huawei p20 lite ina support?Hiyo ni camera mkuu...na kama simu yako haina potrait basi kupitia gcam utaipata vizur tu..kikubwa simu iwe ina support
Hiyo ni camera mkuu...na kama simu yako haina potrait basi kupitia gcam utaipata vizur tu..kikubwa simu iwe ina support
Huawei p20 lite ina support?
Mimi simu yangu ni Samsung A9 ,nifanyejee niweze kuinstall Google camera, maana inanambia not supportedyaa mkuu kwa sasa itabidi tu
Hii picha ni ya Tz?Kama hii au View attachment 1258616
Mkuu kwenye samsung note 5 je inasupport kama ina support nsaidie linkGoogle camera for p20lite Pie9
ok guys I have good news.I found working Gcam for for our p20lite whit Android Pie.Most importing is that HDR+ is working perfectly.I found some settings here on XDA forum. first clear data after install. 1. Go to settings, "BSG MOD" --> Input...forum.xda-developers.com
Jaribu hiyo japo kama sio stable naona
Una android ngapi mkuu
Hiyo ni camera mkuu...na kama simu yako haina potrait basi kupitia gcam utaipata vizur tu..kikubwa simu iwe ina support
Ni app ya camera tu