mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Kama hii auHvi wadau kuna picha ukiziangalia mtu unamuona vizuri kabsa Lakn Ile background inakuwa na kama ukungu fulani Hv au haionekani vizuri Sasa Ile kitu inasababishwa na kamera au ni Photoshop?