Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Hvi wadau kuna picha ukiziangalia mtu unamuona vizuri kabsa Lakn Ile background inakuwa na kama ukungu fulani Hv au haionekani vizuri Sasa Ile kitu inasababishwa na kamera au ni Photoshop?
Kama hii au
IMG_20191026_200424.jpeg
 
Hiyo ni camera mkuu...na kama simu yako haina potrait basi kupitia gcam utaipata vizur tu..kikubwa simu iwe ina support
Hvi wadau kuna picha ukiziangalia mtu unamuona vizuri kabsa Lakn Ile background inakuwa na kama ukungu fulani Hv au haionekani vizuri Sasa Ile kitu inasababishwa na kamera au ni Photoshop?
 
Jaribu hiyo japo kama sio stable naona
Huawei p20 lite ina support?
 
Jaribu hiyo japo kama sio stable naona
Mkuu kwenye samsung note 5 je inasupport kama ina support nsaidie link
 
Hiyo ni camera mkuu...na kama simu yako haina potrait basi kupitia gcam utaipata vizur tu..kikubwa simu iwe ina support

Ivi hiyo Gcam inskuwa ni system unayoweka kwenye kamera au Uko download inakuwa ni app nyingine ya kamera?
 
Back
Top Bottom