Mm nina Samsung A8 lakini nimejaribu kufwata link naona maluwe luwe...siwez kwenda moja Kwa moja kwenye Playstore nikadownload hiyo App?hapana mkuu s6 pia inakubali..mim natumia kweny s6
Thanks sanasouth_to_tanzania
Mm nina Samsung A8 lakini nimejaribu kufwata link naona maluwe luwe...siwez kwenda moja Kwa moja kwenye Playstore nikadownload hiyo App?
A37fmkuu oppo gan?
OkAkikujibu nitag.. nina SAMSUNG A8 pia ila ya mwaka 2015. Sijajaribu bado kudownload hiyo camera
Nina Android 8 mkuundio mkuu unakubali..ila lazma uwe na android 7
Naomba kama unaweza kunipa link ya moja kwa moja mkuuNina Android 8 mkuu
Nikihisi hata mm maana huwez kuinstal ikafanya kazi bila kubadilisha setting Google nawajua vizur...lazima uache alamaWajanja atuimii maana sio nzuri wanabaki na picha zako wakati kuna picha huwa ni za faragha.
Ya mwaka 2016 mkuua8 ya mwaka gan mkuu
Ya kwangu ni ya 2015 ni singe line BandLTE
a8 ya mwaka gan mkuu
Nina Android 8 mkuu
Ok....let's try
sio lazma mkuu...mim kwangu sjachange setting yyte,lakin pia kuchange setting ni kwaajili ya kuifanya irun vzur kweny sim yako..kumbuka hii ni port ya google cameraNikihisi hata mm maana huwez kuinstal ikafanya kazi bila kubadilisha setting Google nawajua vizur...lazima uache alama
Kuna jamaa wanaitwa bongosmart intagram nimeona post yao juzi fanya kucheki wana google pixel na google pixel xl.Nazitafuta sana hizi simu za Google pixel, nataka nianze na google pixel 2 au 2xl najua bei yake haitokua juu sana kwa sasa. Wapi zinapatikana Tanzania hii??? Zanzibar nimezikosa hizi simu