GCam kwa simu gani?Google camera [emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1346219View attachment 1346220View attachment 1346221
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uelewa gani kuhusu battery....kuchaji for three hours kama inakaa siku nzima si tatizo.......yangu ina 4000mah nachaji for 4hrs ikiwa na around 10% nikiweka sa sita usiku sa kumi imejaa no prob....iko hivi chukua simu sawa kila kitu afu we fanya trickle chaji mwngne fast charge afu tumien kwa miez kadhaa tuje tupime battery ya nan ishaanza chakaa sana kuliko mwngine ....fast charge unaipa stress zile chemical kule ndan tumia chaja hiyo kama unaharaka lakn sio kawaida tu unataka ingiza 50 % sijui lisaa ...si jambo zuri kwa maisha ya battery
GCam kwa simu gani?
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Teknolojia imekuwa sana. Usiishi kwa kukalili. Hiyo fast charger kustress battry ilikuwa ni zamani. Ndio maana kwa sasa hakuna flagship phone inayokuja bila fast charger.
Mfano Realme X2 Pro ina 4000mAh unaichaji kwa dakika 30 then unaitumia for 2 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Teknolojia imekuwa sana. Usiishi kwa kukalili. Hiyo fast charger kustress battry ilikuwa ni zamani. Ndio maana kwa sasa hakuna flagship phone inayokuja bila fast charger.
Mfano Realme X2 Pro ina 4000mAh unaichaji kwa dakika 30 then unaitumia for 2 days
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa visimu vya china like oppo A1601, naweza GcamHiyo blur ni potrait mode..unachagua pale
Kwako unatumia kweny simu gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi infinix hot 6Hiyo nayo ni mtk mkuu..familia moja na tecno
Fanya kazi kwa bidii uhame huko!Vipi infinix hot 6
Wewe hiyo 50 mpaka 67 Ndani ya saa moja umetoa wapi?Ndo mana nilkuuliza una uelewa gani kuhusu battery ...lemme tell you...battery technology ndo inaamua nini ukifanya utaipa stress ....hiyo realme sijui inatumia lithium polymer yenye 4000mah kama hii nayotumia ku type hapa....je unajua tabia za Li_po battery...je utabishana na mtengenezaji coz lipo zote duniani zinatabia moja i mean zinafanana tabia na SLA ni hivo hivo haijalishi imetengenezwa na ww au kiwanda kikubwa ....ku stress battery kuko pale pale....na pia specs zake zinasema hiyo simu inachajiwa had 50 kama sio 67 kwa lisaa je unajua hizo percent zilizobaki zinatumia muda gani ..au hujui kumalizia hizo % ni zaidi ya muda uliotumia kufika 67% ....hapo ndo costant voltage inakuwa applied every lipo or li ion chaja lazima iwe na stage mbili....sasa watu wa kiwandan i meanmean watengeneza simu hakuna anaetaka pitwa kila mmoja anataka onesha simu yake ni Bora ila weka kichwan nilichokwambia battery huwa zinapitia several test kama ya kuwa released kupima life cycle nk sasa kama kwa charge ya rate ya 1c battery ikatoa life cycle 500 bas ukizidisha utapata maisha mafupi thou huwez notice haraka utagundua badae
Halafu hizo mAh zisikuchanganye. Iphone 11 pro max ina just 3969mAh... Lakini inakaa na charge ianzizidi mpaka simu zenye 4500mAh.Wacha hizo mkuu sasa 4000mah nitumie siku mbili.[emoji3] Hzo stori hazifai kuna mtu na yeye alikuwa anasifia simu yake kukaa na chaj kumbe tunatofautiana matumizi mtu unawasha data kwa kuchungulia dk 0 umezima sasa utasemaje simu inakaa na chaji simu hiyo hiyo nikaishika nikaweka lain yangu masaa kadhaa kwishney
Sio kweliUna uelewa gani kuhusu battery....kuchaji for three hours kama inakaa siku nzima si tatizo.......yangu ina 4000mah nachaji for 4hrs ikiwa na around 10% nikiweka sa sita usiku sa kumi imejaa no prob....iko hivi chukua simu sawa kila kitu afu we fanya trickle chaji mwngne fast charge afu tumien kwa miez kadhaa tuje tupime battery ya nan ishaanza chakaa sana kuliko mwngine ....fast charge unaipa stress zile chemical kule ndan tumia chaja hiyo kama unaharaka lakn sio kawaida tu unataka ingiza 50 % sijui lisaa ...si jambo zuri kwa maisha ya battery
Zinayo, simu yako ndogoTatizo simu za huawei hazina fast charging, simu unachaji masaa matatu
Ila kwenye kamera wako vizuri
Vipi wale tunaotumia Samsung C5 tunaweza kupata hiyo Camera..... Kama inawezekana naomba link....
Sent using Jamii Forums mobile app
A complex computational photography