Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

No flash
 

Attachments

  • SO1581183519391.jpg
    177.6 KB · Views: 2


Hiyo kufika 50% in ten minutes umetoa wapi 😁😁acha mihemko piga hesabu acha kudanganywa na wafanya biashara...unajua kuichaj battery ya 4000mah ifike 50% yake in 10min unahitaj chaja yenye inatoa 5V na zaidi ya 4A ..ambayo ni over 20w 😁 we unayo hiyo chaji.....

Tatizo la humu kila mtu ni mjuaji nimekwambia phones manufacturer wanachofanya kukucheat we unabisha ....

Umeona matatizo ya battery kwenye simu za i phone ...nyingi used zinazouzwa zishamaliza life cycle ..we unajua zinatokana na nn kwann nyingi life cycle imeisha mapema?? Acha ujuaji mkuu
 
Link Kwa akili ya Hizi SIM za Vivo? Na oppo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo simu charger yake ni 50W wewe unazungumza habari za 20W sijui hata upo dunia ya wapi.

Wana simu yao nyingine inaitwa Oppo Reno Ace yenyewe ina 65W Hiyo inajaa kwa dakika 28 tu.

Mimi nazungumza simu zingine wewe unaleta habari za Iphone. Unayumba aiseee.

Fatilia vitu technology ya miaka minne tu iliyopita siyo sawa na leo.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…