Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Fungua setting kisha post hapa tuone..

Pia potrait hyo utatumia kwa shot za blur
Wakuu baada ya kuhangaika kwa mda mrefu hatimae nibahatika kupata link ya Gcam Ya A30 ya 64gb ram 4gb hii hapa sasa naomba mnisaidie setting zake ili itoe vitu vikali hataree

View attachment 1353648

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Potrait si hiyo apo mkuu juu ya setting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom