Jombaa hamna simu hapo, achana na huo uchafu labda kama huna matumizi makubwa ya simu, hizo ni simu tunazoita simu Kali Kwa bei rahsi, Kwa vyovyote tuu lazima ikufie Kati Kati ya safari, Mzungu sio Fala, Mimi nasubiri iPhone watangaze toleo la iPhone 15 , nikadake iPhone 14 pro mpya, niachane na swala la simu Kwa miaka mitano mbeleni.Hv hiz simu za pixel kwa hapa bongo hakuna supplier anayeziuza mpya?
OyePixel oyee
Natumia 4a pia ina mwaka sasa haijawahi kuleta shida yeyoteNatumia pixel 4a haina shida yoyote na mimi nina natumizi makubwa sana ya simu including apps nzito nzito.
Ya kwako nayo ilijizima? Vp ilikuja kuwaka tena? Au ndo mazimaHili tatizo ni kweli lipo..Ila nadhani linatokana na hizi recent updates zilizoingia..Binafsi natumia Google Pixel 5..Na hii changamoto nimeanza kui expeeience mwanzoni mwa mwezi wa 8 mwaka huu 2023
Ilikuw inazima na kuwaka..kama ushawah ku expeeience maji yakigusa kioo cha simu jinsi inavyoweweseka..ilikuw mithili hyo rema hii ilizidi..cz ilikuw inaji reboot kama mara 10 hv na inapata moto..then ukiifosi kuzima inajizima na inatuliaYa kwako nayo ilijizima? Vp ilikuja kuwaka tena? Au ndo mazima
Ilikuw inazima na kuwaka..kama ushawah ku expeeience maji yakigusa kioo cha simu jinsi inavyoweweseka..ilikuw mithili hyo rema hii ilizidi..cz ilikuw inaji reboot kama mara 10 hv na inapata moto..then ukiifosi kuzima inajizima na inatulia
mi na mpango wa kuchkua weekend hii ila nshaingia hofu hapaEh ndugu zangu mnaniogopesha, nna 4a 5g 😎
Kwahy nisifanye update au siyo?
Simu zote za Android ni majanga Mzee , huwa zina mauza uza kibao ndani ya safari...!! Ads nyingi , mara izime , mara istack , mara ichemke yaan full disturbingmi na mpango wa kuchkua weekend hii ila nshaingia hofu hapa
So unatushauri nini sisi wenye kipato kidogoSimu zote za Android ni majanga Mzee , huwa zina mauza uza kibao ndani ya safari...!! Ads nyingi , mara izime , mara istack , mara ichemke yaan full disturbing
Nnayo yangu huu unaenda Mwaka wa Pili inadunda tu inategemea alinunua wapi na anaitumiajeNdgu sina hoja za kitaalam juu ya simu hizi ila nilichoona kwa dogo wangu alinunua zaidi ya tatu na zikamfia mkononi maana mwanzo alichukua used akasema labda tatizo nimechukua simu ya kutumika ikabidi azame shop kwa maelezo yake ila naona kwa hizi zote tatu zilizima gafla na haikuwezekanika kutengeneza amepeleka sehemu mbali mbali hola
Simu zote za Android ni majanga Mzee , huwa zina mauza uza kibao ndani ya safari...!! Ads nyingi , mara izime , mara istack , mara ichemke yaan full disturbin
Nimenunua samsung Juzi, hata siilewi naona bora nirudi kwenye infinix tuu.go east go west,tecno is the best