Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na RBC.

Adhabu hizo zilianza kwa kutozwa faini ya kila siku ya rubles 100,000 mwaka wa 2020, ikiongezeka maradufu kila wiki baada ya kesi zinazotolewa na mashirika kama Tsargrad na RIA FAN. Ikumbukwe Google ilikuwa na mapato ya dola bilioni 307 mwaka 2023, kimsingi uwezekano wa kulipa faini hiyo haupo.

A Russian court has ruled that Google owes Russian media stations around $20 decillion in fines for blocking their content, and the fines could get bigger.

To put that into perspective, the World Bank estimates global GDP as around $100 trillion, which is peanuts compared to the prospective fine. Google would therefore have to find more money than exists on Earth to pay Moscow - but on Tuesday fell a little short of that mark when it posted $88 billion quarterly revenue.

The bizarre amount has been calculated after a four-year court case that started after YouTube banned the ultra-nationalist Russian channel Tsargrad in 2020 in response to the US sanctions imposed against its owner. Following Putin's illegal invasion of Ukraine in 2022 more channels were added to the banned list and 17 stations are now suing the Chocolate Factory, including Zvezda (a TV channel owned by Putin's Ministry of Defence), according to local media.

"Google was called by a Russian court to administrative liability under Art. 13.41 of the Administrative Offenses Code for removing channels on the YouTube platform. The court ordered the company to restore these channels," lawyer Ivan Morozov told state media outlet TASS.

The court imposed a fine of 100 thousand rubles ($1,025) per day, with the total fine doubling every week. Owing to compound interest (Einstein's eighth wonder of the world), Google is now on the hook for an insane amount of money, or what the judge on Monday called “a case in which there are many, many zeros.”
 
Kwa hio hela zote duniani zikikusanywa hazitoshi kulipa fidia hio?
What is the world's total wealth? According to the UBS ^Global Wealth Report 2023,^ total net private wealth stood at $454.4 trillion at the end of 2022. (AOL.com)

$2.5 decillion = 2,500,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 (kwa Great Britain, decillion ina sifuri 60!)
454.4T = 454,400,000,000,000

Ndiyo kusema kwamba Google ikilipa kila siku fidia ya fedha zinazolingana na utajiri uliopo duniani (uliotajwa hapo juu), itachukua miaka zaidi ya 15,000,000,000,000,000 (miaka kwadrilioni 15) kufuta deni lote kwa Mrusi!!!

Au naota?
 
Mahakama nchini Urusi imeiamuru Google kulipa faini ya $2.5 undecillion, kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuliko utajiri wote wa Dunia kwa kukataa kurejesha akaunti za vyombo vya habari vinavyounga mkono Kremlin.

Kiasi hiki kimehesabiwa baada ya Google kuondoa channel ya urusi ya Tsargrad kwenye YouTube, kufuatia vikwazo vya Marekani dhidi ya mmiliki wake.
1730297829997.png
Mwanasheria Ivan Morozov alisema Google ilitakiwa kuwajibika kisheria kwa kuondoa channels hizo. Ikiwa faini haitalipwa ndani ya miezi tisa, itazidishwa kila siku bila kikomo. Kampuni mama ya Google, Alphabet, iliripoti mapato ya zaidi ya $307 bilioni mwaka 2023, hali inayoonyesha kuwa ni vigumu kwa kampuni hiyo kulipa kiasi hicho.

Faini hii inakuja wakati Google ikikabiliwa na mashtaka matatu dhidi ya vyombo vya habari vya Urusi, huku ikituhumiwa kutokutekeleza amri za mahakama. Google pia ilisitisha ufadhili wa vyombo vya habari vya Urusi mara tu baada ya uvamizi wa Ukraine mwaka 2022.
 
Mahakama nchini Urusi imeiamuru Google kulipa faini ya rubles 2 bilioni au $2.5 undecillion, kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuliko utajiri wote wa Dunia kwa kukataa kurejesha akaunti ...
Hiyo exchange rate umeitoa wapi ? Wakati mwingine ni bora kukaa kimya ili kuficha ujinga wako. 1rouble = 0.01$
 
Mahakama nchini Urusi imeiamuru Google kulipa faini ya $2.5 undecillion, kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuliko utajiri wote wa Dunia kwa kukataa kurejesha akaunti za vyombo vya habari vinavyounga mkono Kremlin.

Kiasi hiki kimehesabiwa baada ya Google kuondoa channel ya urusi ya Tsargrad kwenye YouTube, kufuatia vikwazo vya Marekani dhidi ya mmiliki wake.
Mwanasheria Ivan Morozov alisema Google ilitakiwa kuwajibika kisheria kwa kuondoa channels hizo. Ikiwa faini haitalipwa ndani ya miezi tisa, itazidishwa kila siku bila kikomo. Kampuni mama ya Google, Alphabet, iliripoti mapato ya zaidi ya $307 bilioni mwaka 2023, hali inayoonyesha kuwa ni vigumu kwa kampuni hiyo kulipa kiasi hicho.

Faini hii inakuja wakati Google ikikabiliwa na mashtaka matatu dhidi ya vyombo vya habari vya Urusi, huku ikituhumiwa kutokutekeleza amri za mahakama. Google pia ilisitisha ufadhili wa vyombo vya habari vya Urusi mara tu baada ya uvamizi wa Ukraine mwaka 2022.
Kwanini wasiipige faini kwa kutumia currency ya nchi yao. Hawaoni kama wanaipa promo Us Dollar na kuwanyong'onyesha mashabiki wao uchwara wa hapa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom