Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

Sanctions ambazo Urusi inawabandika hao ni kali mno. Marekani kamwaga mboga, wao wameondoka na ugali.
Google walishajiondoa Urusi tangu 2022, hawajawahi kuwepo China ambayo ni uchumi namba 2 kwa ukubwa duniani.
 
Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na RBC.

Adhabu hizo zilianza kwa kutozwa faini ya kila siku ya rubles 100,000 mwaka wa 2020, ikiongezeka maradufu kila wiki baada ya kesi zinazotolewa na mashirika kama Tsargrad na RIA FAN. Ikumbukwe Google ilikuwa na mapato ya dola bilioni 307 mwaka 2023, kimsingi uwezekano wa kulipa faini hiyo haupo.



Google has amassed an astronomical fine of around 2 undecillion rubles (approximately $2.5 decillion) in Russia for refusing to unblock the accounts of pro-Kremlin and state media outlets, as reported by RBC. 😳💰

The penalties began with daily fines of 100,000 rubles in 2020, doubling each week after lawsuits by outlets like Tsargrad and RIA FAN. Google, with $307 billion in revenue in 2023, is unlikely to pay this fine.

Seventeen Russian media outlets, including Channel One and RT-affiliated Zvezda, have taken legal action against Google.

YouTube blocked these outlets due to their support for the invasion of Ukraine, prompting Moscow’s fines but stopping short of a full YouTube ban. Google’s Russian subsidiary declared bankruptcy in 2022, halting operations amid Western sanctions over the conflict.

PUBITY

Hii faini inafanana na kile kishika uchumba chetu na kina mia Kenda tisini na kenda
 
Russia inayoyafanya kwa Marekani ni maumivu makubwa sana! Google imepigwa faini ya Desilioni, juzi BRICS na mfumo mpya wa fedha, kule Ukraine inaleta wanajeshi wa DPRK, Mashariki ya Kati makombora ya S-400 na Sukhoi 30-35, na pia inamuunga mkono Trump,huu ni ubabe uliopitiliza!
 

Attachments

  • 20241030_231906.jpg
    20241030_231906.jpg
    66.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom