Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

Makinikia
Professorial Rubbish
 
Sanctions ambazo Urusi inawabandika hao ni kali mno. Marekani kamwaga mboga, wao wameondoka na ugali.
Google walishajiondoa Urusi tangu 2022, hawajawahi kuwepo China ambayo ni uchumi namba 2 kwa ukubwa duniani.
 

Hii faini inafanana na kile kishika uchumba chetu na kina mia Kenda tisini na kenda
 
Na Tz hao jamaa wa madini wameibuka tena wanatudai decimilion ngapi?
 
Russia inayoyafanya kwa Marekani ni maumivu makubwa sana! Google imepigwa faini ya Desilioni, juzi BRICS na mfumo mpya wa fedha, kule Ukraine inaleta wanajeshi wa DPRK, Mashariki ya Kati makombora ya S-400 na Sukhoi 30-35, na pia inamuunga mkono Trump,huu ni ubabe uliopitiliza!
 

Attachments

  • 20241030_231906.jpg
    66.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…