Govi langu linanitesa sana

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com
 
Duu ..nenda hospitali utapata ushauri hapa ni porojo tu ndo utakazo ambulia..
 
Fika hospitali za karibu upewe ushauri wa kitabibu...umri wowote govi linatolewa kwani ni operation ndogo tu hiyo.

Tatizo ni kupona haraka na hapa kitaa aibu watu wakijua si itabidi niwe najifcha ndani .any way ngoja nijaribu
 
Nenda hospital huko kutakuwa na Wataalam ambao wataweza kukusaidia ili uachane na hiyo adha.
 
Mkuu ishu hiyo ingelikuwa ni serious basi hata serikali isingelifanya kampeni ya kuondoa mkono wa sweta iliyokuwa ikifanywa kitaifa...
Kuondoa govi ni operesheni ndogo sana...siku hizi kuna madawa chungu nzima ya kukausha vidonga...
Kuendelea kuwa na govi ni hasara zaidi ya hayo maumivu unayotaka kuyakwepa..

Tatizo ni kupona haraka na hapa kitaa aibu watu wakijua si itabidi niwe najifcha ndani .any way ngoja nijaribu
 
sasa iyo rahisi nenda hospitali tu unakatwa fasta au ukishindwa ni pm nkukate ata na panga.....then hujaoa ngono ya nini unalitesa govi bure then ntumie whatsap nilifanyie analysis........uwe unalifanyia make up si uso wako tu unatengeneza
 
kupona itakuchukua mwezi mzima, wanasema "no pain no gain".
 
Operation hiyo ni ndgo sana,ila usipotoshwe na maneno ya watu kuwa ukubwani inakuwa ngumu, laa hasha!.Ila kwa fkra zako za kutaka upone ndani ya 1 week sio rahisi kama unavyodhani ww hasa ukizingatia halihalisi ya hali ya hewa jjn Dar,lkn ungekuwa Dodoma /Arusha ungepona fasta ndani ya week 2.Kwa Dar kwanza inatakiwa dushe yako iwe wazi muda woote na mahala penye hewa ya kutosha hii pia itakufanya upone kwa muda unao dhani.
 
kupona itakuchukua mwezi mzima, wanasema "no pain no gain".
hata wiki 3 inawezekana ila ushinde na ulale kama mbwa(uchi)na ukipona usi doo kwa wiki tatu zaid.
kuna rafiki yangu baada ya kupona fasta akapata ka dem akakafinya ile kumaliza tu,akatoka na damu. akajisalimisha kwa mtu mzima,kucheki kitu kimefumuka tena palepale uzi ulipopita,daa akarudishwa tena hosp.akashonwa tena,sisi tukawa tumepona yy kwa raha ya usku mmoja akauguza donda kwa mwez moja tena.
 

Si ukamuone Dokta Juma pale Klabu ya Pan Afrika, mtaa wa Swahili na Kariakoo. Ni kazi ya dakika moja tu. Pole sana.
 



Nimeamini kweli unalichukia hadi unasema.."naLiosha mara kwa mara" na tena Linanuka vibaya
 
Kama unaona aibu nenda mkoani kajifiche unapiga operation yako after 3 weeks unarudi.
 
Bora ulitoe kabla hawajaanza kukutangazia.

Usiombe watoto wa kike walijue utapata aibu kubwa sana utajuta.
 
Hope ungekua maeneo maeneo kuna kamba unafunga kwa hiyo dudu linakatika taaratiibu bila damu wala kuuguza kidonda!

Ila huezi kuja huku misunkumilo namanyere, pole
 
Mbona umesahau vitu vingine unavyosaidiwa kuviondoa.?

Chukua hatua sasa nenda hospitali mara moja kwani kuliondoa

kutakupa nafuu ya vitu vingi sana na ndoa yenu itakuwa mzuri.

Kuliondoa ni sawa na kumnunulia simu mpya mama watoto.
 
Mie mwenzio niliamua kulitoa baada ya dada mmoja kunifanya gari la mshahara ,unajua ilikuwaje
Nilimpata demu ,katika harakati za kutaka kumgegeda nikataka nizime taa akakataa taa isizimwe yeye mda huo kashasaula mie nimevaa bucta ,wakati napotezea kumbe machale yakawa yameshamcheza akanifanyia timing ,wakati yeye kakaa kitandani nikawa nimemsogelea akaishika ile bucta kwa chini na kuivuta kwa ghafla lolo govi langu silikaonekana,akagoma kugegedwa na mimi kwa aibu nikamsihi asimwambie mtu ila sasa yeye akaanza kuninyanyasa kila akiwa na shida ya pesa ananiomba kwa mikwara na kusema usiponipa nauza issue baada ya kuvumilia kwa muda nikaona ni utumwa ndipo nilipoamua kulitoa

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Usiogope, govi linatoka na unapona tu haraka. Sasa hivi kuna kampeni ya ondoa mkono sweta huko Mbeya na Tabora na maeneo mengine ambayo huwa govi haliondolewi. Wanaume wa umri mkubwa kushinda wako wanaondoa na wanapona. Kama unafanya kazi chukua likizo yako ya siku 28 na nina hakika ndani ya wiki 2-3 utakuwa umepona kabisa. Bora uchekwe kwa muda mfupi kuliko kukosa raha wakati wa sex. Na nina hakika mwanamke utakayeoa kama unalo govi itakulazimu kuliondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…