Govi langu linanitesa sana

Govi langu linanitesa sana

Mie mwenzio niliamua kulitoa baada ya dada mmoja kunifanya gari la mshahara ,unajua ilikuwaje
Nilimpata demu ,katika harakati za kutaka kumgegeda nikataka nizime taa akakataa taa isizimwe yeye mda huo kashasaula mie nimevaa bucta ,wakati napotezea kumbe machale yakawa yameshamcheza akanifanyia timing ,wakati yeye kakaa kitandani nikawa nimemsogelea akaishika ile bucta kwa chini na kuivuta kwa ghafla lolo govi langu silikaonekana,akagoma kugegedwa na mimi kwa aibu nikamsihi asimwambie mtu ila sasa yeye akaanza kuninyanyasa kila akiwa na shida ya pesa ananiomba kwa mikwara na kusema usiponipa nauza issue baada ya kuvumilia kwa muda nikaona ni utumwa ndipo nilipoamua kulitoa

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

Hahahahahahaha.
 
kupona itakuchukua mwezi mzima, wanasema "no pain no gain".

Acha uwongo ww mbona unamtisha mwenzako? Asa ndo ushauri gani huo! Imezidi sana ni wiki mbili tu ila kufanya ngono mpaka miezi mi3 ndo unaweza! Ila kwa kupona maumivu ni wiki 2 tu!
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com
Kaka pole sana, mimi ni daktari wa binadamu hiyo kitu inatolewa vizuri tu hakuna tatizo lolote, nenda hospitali kama hutaki longo longo TUMAINI upanga patakufaa ni pesa yako tu maana ni private hospital..!! Karibu sana upate SUNA!!
 
Lol....watu wanafuga migovi hadi karne hii jamani? kalitoe tu mkuu utapona haraka.... maumivu yake ni normal tu hata usitishike.
 
Tatizo ni kupona haraka na hapa kitaa aibu watu wakijua si itabidi niwe najifcha ndani .any way ngoja nijaribu

Hiyo ni Operation ndogo sana, ila unapaswa kwenda kwa Dr. mzoefu kulingana na umri wako vinginevyo ukikutana na Mwanafunzi mambo yanaweza kuharibika.
 
inaonekana mademu walishakataa kushika mic, na wewe ndiyo ladha , du!!! ila pole piga kienyeji itakuwa powa paka dawa fulani kitu itakatika yenyewe kwa siku kadhaa , tafuta waganga
 
Wahi hospitali mkuu govi ni hatari kwa afya yako
 
usiogope mkuu! kuna msanii mkubwa tu wa huko Mwanza naye aliondoa GOVI lake akiwa na miaka 30.
 
Aisee pole kumbe na wewe umepata sunna ukubwani??
hata wiki 3 inawezekana ila
ushinde na ulale kama mbwa(uchi)na ukipona usi doo kwa wiki tatu zaid.
kuna rafiki yangu baada ya kupona fasta akapata ka dem akakafinya ile
kumaliza tu,akatoka na damu. akajisalimisha kwa mtu mzima,kucheki kitu
kimefumuka tena palepale uzi ulipopita,daa akarudishwa tena
hosp.akashonwa tena,sisi tukawa tumepona yy kwa raha ya usku mmoja
akauguza donda kwa mwez moja tena.
 
Hilo zoezi ni dogo muno,ukishakata saga flagline paka unga wake kwenye hicho kidonda ndani ya week mambo mazuri tu,usiogope maana utaumbuka pindi ukimpata mtoto anayejua kula koni alafu akute mkono wa sweta.ha ha ha!
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com

Wewe unawazimu unataka upone haraka kwa njia gani nenda kahiriwe utapona lini ni none od our business!!
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com

Unachokiogopa hapo ni maumivu ama kuchekwa kitaani? kwa mtazamo wangu, wewe unaleta makuzi umu jukwaani maana ingelikuwa serious kama unavyosema, ungejipeleka hospitalini mwenyewe ukalikata pasipo kuomba ushauri kokote, mimi nakuona unatuletea ze comedy original III
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com

Pole kaka! Jamaa yangu alitoa mwaka wa kwanza pale udsm akiwa na miaka 22 akapona after 7 days lakini hakuweza kuvaa nguo ngumu for a week or so! Sijajua alianza kubanjua baada ya muda gani. MziziMkavu yumo humu atakusaidia maarifa
 
Last edited by a moderator:
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com
Nani kakuongopea kuwa ukitowa govi lako ukubwani kupona linakuwa sio rahisi? nenda hospitali kalitowe hilo govi lako utapona kwamuda usiozidi siku 7 tu acha uoga huo wa kijinga. Kalitowe upesi govi pia linasababisha maradhi mengi mojawapo ya maradhi ya ukimwi. mkuu MENISON

SWALI: NI KWELI MTU ASIYETAHIRIWA HUPATWA VVU KWA URAHISI?

Swali: Ni kweli mtu asiyetahiriwa
hupatwa VVU kwa urahisi?

Jibu: Ni kweli mtu asiyetahiriwa
ana asilimia 60 zaidi ya kupata VVU
kulinganishwa na mtu
aliyetahiriwa.Hii ni kwa sababu
katika ngozi ile ya
mbele"govi"kuna vipokea virusi
vya ukimwi"HIV receiptors"hii
humweka mtu asiyetahiriwa kuwa
katika hatari zaidi ya yule
aliyetahiriwa. Ndiyo maana pana
kampeni ya kitaifa ya "dondosha

mkono wa sweta"

manyandahealthy@gmail.com
 
Kama vp tafuta mwanamke wa kizungu.. Nackia wanayapenda hayo!!!
 
Back
Top Bottom