Govi langu linanitesa sana

Govi langu linanitesa sana

Hahaha chukua likizo ofsn ya Mwezi mzima AF ukalitoe hilo govi AF ujifungie ndani lakn kumbuka kula vzr ili uwah kupona kila LA heri.
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com

Bado hujalitoa tu?
 
kuna mpango utolewao na serkal kuhusu tohara na kwa mtu mkubwa anapewa kipaumbele ila inachukua almost wiki mbil after kufanyiwa tohara. usaf ni lazma bro usiogope we nenda kaltoe hlo sweta
 
Ha ha ha ha ha ha ha hadi leo hii mjomba ni govinda pole nenda hsptl week tu unapona
 
mashine ikidinda halafu unagovi... ukigeukia upande upepo unatokea utaskia govi linapiga mluzi
 
Wewe utakuwa ni CCM lazima.Nenda Iringa kuna zoezi la kutoa magovi bure mpango wa serikali ya ccm
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com

Hii email address yako ni feki? Au unatumia jina feki? Coz sidhani kama dunia hii kuna "Said" wa umri wa miaka 25 mwenye kumiliki govi!
 
Pole sana inawezekana kuondoa huo mkono sweta nenda mafinga utapata iyo huduma
 
unaogopa maumivu ya suna we mwanaume gani? hawa wanakupa moyo tu ukweli inauma sio mchezo ganzi inapoisha hunyanyui mguu na usiku ukilala ole wako dushe lisimame maumivu yake utatafuna godoro kama mkate, mi nilidondosha mukono ya sweta nikiwa 15yrs. Ili uwe mwanaume lazima upitie hapo mkuu.
 
Kitu orijino kaka! Ww ndo hujachakachuliwa iache uitunze kitu halisia ambayo haijamwenywa ganda
 
Tafuta Safari Ya Mbali, Angalau 2 Wks Then Ukatoe Hiyo Kitu Ukitudi Umepona!!! Nipe Namba Yako Nikushauri Vizuri
 
Back
Top Bottom